Golikipa wa Man City, Ederson jana alitoa assist kwa Omar Marmoush wakati Man City ikiiua Newcastle Goli 4-0 katika EPL.
Assit hiyo ya Ederson inakuwa ni assist ya 3 kwa msimu huu katika EPL huku akilingana na baadhi ya wachezaji wanaocheza ndani.
Kipa Ederson, analinganaa na kiungo hatari na...
Tukio la kusikitisha lililotokea Desemba 25 mwaka huu siku ya sherehe za Krismasi, linamuhusisha mwanasoka mdogo mwenye umri wa miaka 14, Geral Froste kupigwa risasi na kufariki.
Imeripotiwa kwamba, risasi iliyokatisha ndoto za Geral Froste, ambaye alikuwa golikipa wa timu ya Montevideo City...
Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Taarifa ya leo Desemba 10, 2024 ya leo kupitia ukurasa rasmi wa klabu...
Wakuu
Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma.
Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu, kwanini magoli yote hakuwa anaruka kudaka au kupangua? Anasimama tuu kama mlingoti, kweli?
USHAURI
Ana...
Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho .
Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida.
Gsm Mungu anawaona...
Kuna siku nadhani msimu uliopita wakati Simba inapitia changamoto ya nafasi ya golikipa, niliwahi kushauri John Bocco apewe tizi ili awe golikipa. Niliamini angeweza kuwa kipa mzuri kuliko hata Ally Salim.
Kuna watu wakadhani natania au namkosea heshima Bocco.
Kutokana na uzoefu wangu wa...
Golikipa mzuri anajua kudaka kiwango chake ni cha juu sana footwork yake pia ni nzuri ishot ni aina ya golikipa wa kisasa ila tatizo la golikipa wetu hakubali kwamba sio kila mpira unaomjia ni wa kuhangaika nao.
Shuti kama lile lilikuwa na haja gani ya kukomaa nalo kulirudisha uwanjani? Kwann...
Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match.
Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar.
Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA.
Ila all in all BACCA hajastahili sisemei...
Meneja wa Golikipa Aishi Manula amesema, Djigui Diarra ni usajili bora zaidi wa Yanga katika mafanikio yao ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu misimu (3) mfululizo"
Jemedari Said amesema hajawahi kuona golikipa bora aliyekamilika katika sanaa ya uchezaji kama Djigui Diarra Tanzania katika misimu (10)...
Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria, Afrika Kusini?
Wakibadili mtindo wa uchezaji wao waliouzoea, faida itakuwa kwao au kwa Yanga...
MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani.
Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa).
Sasa kwa ninyi mliofanya...
Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi za wazi, huku hawaangalii jitihada alizofanya golikipa wa Dynamos.
Kosakosa alizofanya Baleke...
Golikipa la Caf toka Morocco liko nchini, Ally Salim yuko on fire, Aishi Manula tafuta tumu nyingine, otherwise unaenda kuwa kipa namba tatu pale Msimbazi.
Historia inatuambia, imekua ni changamoto kubwa sana kupima ubora wa golikipa, kuliko nafasi yeyote uwanjani kutokana na sababu kadha wa kadha(ambazo nitazieleza japo kidogo hapo mbeleni).
Lakini wengi wetu hatukuona tabu, kwanini tuendelee kuumiza akili zetu? Basi tukachagua njia nyepesi...
Kwema Wakuu?
Hii mada kila nikipost jana iliikua inakataa. Jana siku ya Wananchi nilikua naangalia matukio mbalimbali na washikaji wa kitaa ambao tunakuaga nao pamoja siku zote kwenye michezo (mipira, ndondi etc). Sasa mojawapo ya mechi za jana kwenye siku ya Wananchi ni mechi kati ya Staff wa...
Hoja fukunyuku.
Sitegemei Simba kusajili kipa mwingine msimu huu. Nadhani wanafuatilia kwa ukaribu uponyaji wa Aishi Manula na naona kuna juhudi zinafanyika za kuboresha viwango vya Ally Salum na mwenzake Ferooz. Kwa sababu dirisha la usajili halijafungwa, maamuzi ya mwisho bado hayajafanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.