Yanga imefikia levo za CAF, kwenye level hizo hakuna timu za ajabu ajabu, kwenye levo za CAF hakuna wachezaji wanaosita sita kupiga pasi na anapoamua kupiga pasi anapoteza, kwenye levo za CAF hakuna mchezaji anayekosa ndani ya boksi la kumi na nane, kwenye levo za CAF hakuna kiungo mshambuliaji...
Wengi wanaamini upigaji penati ni bahati zaidi ya ufundi ila mimi napingana na hiyo dhana. Nikiwa mtu niliyecheza mchezo huu wa football kwa kiwango kikubwa sana katika nafasi tofauti uwanjani na kuna wakati nikawa hadi kocha, nina uwezo wa kulizungumza hili kwa uhakika na kujiamini maana najua...
Kabla hata ya derby ya Simba na Yanga, kulizuka utata kuhusu upangwaji wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya katika mechi muhimu za Simba wakati Aishi Manula akiwa majeruhi. Utata huu ulikuja baada ya kusemekana kuwa Beno amesaini kuchezea Singida Big Stars (SBS) kuanzia mwishoni mwa msimu huu...
Huyu ndiye golikipa wa timu ya Taifa ya Argentina ambaye mchambuzi maandazi wa soka TBC alidai anaidakia timu ya Sevilla la liga Hispania.
Ukweli ni kuwa ni golikipa wa Aston Villa EPL UIngereza. Huyu mchambuzi maandazi aliyepewa jukumu la kuchambua soka TBC wakati wa kombe la dunia sijui...
Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi
Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo!
Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele...
hawa yanga hapa walitupiga na kitu kizito kichwani kuwahi kutokea!!
Huku mtaani kila kipa asiyeeleweka alipewa jina la Kindoki, mtaani kwangu kulikuwa na akina Kindoki kama wanne hv.
Anacheza timu gani sasa huyu mwamba?!!!!
Wasalaam,
TFF inabd waweke sheria haiwezekani tuajiri magolikipa kutoka nje jamani kwa hili YANGA wametuabisha kabisa. Kama Taifa tutafakari hv Yanga wangemuchukua hata golikipa wa prison anafaa kabisa kukaa langoni mhm mazoezi na kocha wa makipa akiwa mzuri inatosha.
Hivi kweli Watz tunaenda...
Mambo ni mengi muda hautoshi, golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja, hayo sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa wachambuzi wa kipindi cha Sports Extra ya Clouds Fm.
Ni nani anawatumia Clouds kutuhujumu sisi Yanga? 😂😂😂
Kongole kwa wachezaji wetu,
Mechi hii imetuonesha KUIMARIKA kwa kikosi chetu kila muda unavyozidi kwenda.
Baada ya mpira kuisha ,ilionekana baadhi yetu mashabiki wa kilabu chetu pendwa tukimzomea KIPA wetu Metacha B.Mnata kutokana na kukasirishwa na magoli aliyofungwa.
Je Metacha Mnata...
Leo nimeulizwa hili na huyu mtoto wangu mkubwa.
Eti, wanaume wa leo hawataki mke ambaye ni mama wa nyumbani (asiye na shughuli ya kipato).
Wakati huo huo, wengi wao hawataki mke mwenye kipato kikubwa au 'mishe' kubwa/nyingi kuwazidi. Ni kama haieleweki wanataka yupi.
Je, huu mtazamo ni kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.