golikipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa nini neno la kisukuma 'Nyanda' linatumika kwa Golikipa?

    Neno nyanda ni neno la kisukuma lenye maana ya mvulana. Je, ilikuwaje likawa linatumika kama jina la mlinda-mlango kwenye mpira wa miguu?
  2. EPL: Golikipa wa Man City, Ederson afikisha assist ya tatu ya msimu katika ligi hiyo sawa na Odegaard wa Arsenal

    Golikipa wa Man City, Ederson jana alitoa assist kwa Omar Marmoush wakati Man City ikiiua Newcastle Goli 4-0 katika EPL. Assit hiyo ya Ederson inakuwa ni assist ya 3 kwa msimu huu katika EPL huku akilingana na baadhi ya wachezaji wanaocheza ndani. Kipa Ederson, analinganaa na kiungo hatari na...
  3. Golikipa afariki kwa kupigwa risasi akiamulia ugomvi wa mama yake

    Tukio la kusikitisha lililotokea Desemba 25 mwaka huu siku ya sherehe za Krismasi, linamuhusisha mwanasoka mdogo mwenye umri wa miaka 14, Geral Froste kupigwa risasi na kufariki. Imeripotiwa kwamba, risasi iliyokatisha ndoto za Geral Froste, ambaye alikuwa golikipa wa timu ya Montevideo City...
  4. Coastal Union imevunja mkataba na Ley Matamp aliyekuwa golikipa bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24

    Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa makubaliano ya pande zote mbili. Taarifa ya leo Desemba 10, 2024 ya leo kupitia ukurasa rasmi wa klabu...
  5. Golikipa Aishi Manula ukipewa au ukielekezewa Mic Kuzungumza jifunze Kuzungumza kwa ufupi na vya maana tupu sawa?

    Sijui kwanini ukielekezewa tu Mic na Waandishi wa Habari jambo la kusema Sekunde 45 utalisemea dakika 17 Unaboa.
  6. Djigui Diara si golikipa wa kutegemewa

    Wakuu Huyu golikipa wa Yanga naona kama amerelax sana. Kwanini hajitumi? Mechi kadhaa nikiangalia magoli anayoruhusu si magoli ambayo anajituma. Mfano game ya Leo Yanga kufungwa goli tatu, kwanini magoli yote hakuwa anaruka kudaka au kupangua? Anasimama tuu kama mlingoti, kweli? USHAURI Ana...
  7. Metacha Mnata ni golikipa kweli?

    Golikipa anatia kinyaa golikipa alijiandaa kuizawadia Yanga goli. Golikipa goli gani la kiboya namna ile ni dalili amefumba macho . Mwigulu Nchemba Mungu anakuona kutuharibia ligi ya Tanzania bara kwa kuinunua Ihefu na kuigeuza msekure wa Yanga kama ilivyokuwa kwa Singida. Gsm Mungu anawaona...
  8. Mnakumbuka niliposhauri John Bocco awe golikipa pale Simba?

    Kuna siku nadhani msimu uliopita wakati Simba inapitia changamoto ya nafasi ya golikipa, niliwahi kushauri John Bocco apewe tizi ili awe golikipa. Niliamini angeweza kuwa kipa mzuri kuliko hata Ally Salim. Kuna watu wakadhani natania au namkosea heshima Bocco. Kutokana na uzoefu wangu wa...
  9. Camara ni Golikipa mzuri tena sana ila Kujiamini kwake kunatuponza

    Golikipa mzuri anajua kudaka kiwango chake ni cha juu sana footwork yake pia ni nzuri ishot ni aina ya golikipa wa kisasa ila tatizo la golikipa wetu hakubali kwamba sio kila mpira unaomjia ni wa kuhangaika nao. Shuti kama lile lilikuwa na haja gani ya kukomaa nalo kulirudisha uwanjani? Kwann...
  10. Mtaje Golikipa wako pendwa zaidi katika soka

    Wakuu, Katika maisha yako ya soka ni golikipa au makipa gani uliotokea kuwakubali zaidi katika soka la bongo,au Duniani kwa ujumla?
  11. Golikipa wa Azam ndie alistahili kuwa Man of the Match ila kapewa BACCA kwa sababu imepangwa iwe kwa Mzanzibar

    Alieangalia Mpira hawez kubishana na mimi M.Mustafa alistahili kua Man of the Match. Ila nahisi mmeamu hivo coz ya Uzanzibar. Nimeelewa leo match ilikua inachezwa ila mlikua mnaangalia wachezaji watatu tu wazazimbar ambao ni FEI, MUDATHIRI na BACCA. Ila all in all BACCA hajastahili sisemei...
  12. Meneja wa Golikipa Aishi Manula amesema, Djigui Diarra ni Golikipa bora muda wote

    Meneja wa Golikipa Aishi Manula amesema, Djigui Diarra ni usajili bora zaidi wa Yanga katika mafanikio yao ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu misimu (3) mfululizo" Jemedari Said amesema hajawahi kuona golikipa bora aliyekamilika katika sanaa ya uchezaji kama Djigui Diarra Tanzania katika misimu (10)...
  13. S

    Mechi ya marudiano Afrika Kusini, Mamelodi wataendelea kupigiana pasi na golikipa wao?

    Baada ya Yanga kufanikiwa kudhibiti mbinu ya Mamelodi ya defenders wao muda mwingi kucheza na kipa wao ili kuwavuta Yanga, Mamelo wataendelea na mbinu hii katika mechi ya marudiano huko Pretoria, Afrika Kusini? Wakibadili mtindo wa uchezaji wao waliouzoea, faida itakuwa kwao au kwa Yanga...
  14. Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

    MADHARA YA KUOA MWANAMKE AMBAYE HAJASOMA NA GOLIKIPA NI HAYA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Nimeona kuna vijana hapa wanadanganyana na kuwa na mawazo ya kizamani. Ati wao wataoa wanawake wenye elimu duni na wasiofanya kazi isipokuwa kazi za nyumbani (golikipa). Sasa kwa ninyi mliofanya...
  15. Golikipa wa Jwaneng galaxy anatisha

    Anaitwa G. Phoko Huyu ndio kachangia kuwalaza na viatu wydad Wana simba mmejioanga ??
  16. Kuhusu golikipa wa Simba (Lakred) na Baleke, sikubaliani na wanaosema eti walicheza vibaya

    Niko opposite kabisa na wanaosema kuwa Lakred ni mbovu. Kosa alilofanya katika goli la pili halifuti saves alizofanya kwa ubora kabisa. Pia nipo opposite wanaolalamika kuwa Baleke alikosa nafasi za wazi, huku hawaangalii jitihada alizofanya golikipa wa Dynamos. Kosakosa alizofanya Baleke...
  17. Aishi Manula hata ukipona leo, unaenda kuwa golikipa namba tatu pale Msimbazi

    Golikipa la Caf toka Morocco liko nchini, Ally Salim yuko on fire, Aishi Manula tafuta tumu nyingine, otherwise unaenda kuwa kipa namba tatu pale Msimbazi.
  18. Mbrazili Jeff Luis na somo la ubora wa golikipa

    Historia inatuambia, imekua ni changamoto kubwa sana kupima ubora wa golikipa, kuliko nafasi yeyote uwanjani kutokana na sababu kadha wa kadha(ambazo nitazieleza japo kidogo hapo mbeleni). Lakini wengi wetu hatukuona tabu, kwanini tuendelee kuumiza akili zetu? Basi tukachagua njia nyepesi...
  19. Yanga Staff vs Wasanii; Huyu Golikipa H. Kidiaba JR anaujua. Anatokea wapi?

    Kwema Wakuu? Hii mada kila nikipost jana iliikua inakataa. Jana siku ya Wananchi nilikua naangalia matukio mbalimbali na washikaji wa kitaa ambao tunakuaga nao pamoja siku zote kwenye michezo (mipira, ndondi etc). Sasa mojawapo ya mechi za jana kwenye siku ya Wananchi ni mechi kati ya Staff wa...
  20. John Bocco aandaliwe kama golikipa wa akiba

    Hoja fukunyuku. Sitegemei Simba kusajili kipa mwingine msimu huu. Nadhani wanafuatilia kwa ukaribu uponyaji wa Aishi Manula na naona kuna juhudi zinafanyika za kuboresha viwango vya Ally Salum na mwenzake Ferooz. Kwa sababu dirisha la usajili halijafungwa, maamuzi ya mwisho bado hayajafanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…