goma

Goma is the capital and largest city of the North Kivu Province in the eastern region of the Democratic Republic of the Congo. It is located on the northern shore of Lake Kivu and shares borders with Bukumu Chiefdom to the north, Rwanda to the east and Masisi Territory to the west. The city lies in the Albertine Rift, the western branch of the East African Rift, and is only 13–18 km (8.1–11.2 mi) south of the active volcano Mount Nyiragongo. With an approximate area of 75.72 km2 (29.24 sq mi), the city has an estimated population of nearly 2 million people in 2022, with at least 500,000 displaced people.
Goma is administratively divided into two urban municipalities: Goma and Karisimbi, which are further subdivided into 18 quarters, colloquially recognized as "neighborhoods" in the English lexicon. The city is home to several notable landmarks, including Goma International Airport, the UNESCO World Heritage Site Virunga National Park, the private Christian co-educational school Adventist University of Goma, the University of Goma, and is also surrounded by the active Virunga volcanic range, which includes volcanoes Nyamulagira, Nyiragongo, Mikeno, Visoke, Gahinga, Karisimbi, and Sabinyo. Goma also hosts the annual Amani Festival, the Free University of the Great Lakes Countries, which supports local development initiatives, as well as the regional cultural center and art school, Foyer Culturel de Goma.
The recent history of Goma has been dominated by the volcano and the Rwandan genocide of 1994, which in turn fueled the First and Second Congo Wars. The aftermath of these events was still having effects on the city and its surroundings in 2010. The city was captured by rebels of the March 23 Movement during the M23 rebellion in late 2012, and then retaken by Congolese government forces. As of January 2025, the city is once again under the control of M23, following a fresh offensive by the group that culminated in the Battle of Goma.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord denning

    Tetesi: Wanajeshi wa Tanzania na wenzao wa SADC Washikiliwa Mateka kama Mateka wa Vita na Wanamgambo wa M23 huko Goma

    Kuna taarifa imetolewa jioni hii na Waandishi wa Habari Kupitia Mtandao wa X (Zamani Twitter) waliopo Goma ambayo inaeleza wametaarifwa na Wanamgambo wa M23 kuhusu kutekwa kwa Wanajeshi wa SADC kutoka Mataifa ya Afrika Kusini, Malawi na Tanzania waliopo Goma.u Kwenye taarifa yao, waandishi...
  2. MBOKA NA NGAI

    Silaha za DRC zilizokamatwa na M23 huko Goma

    Makala ndefu sana! Mwenye kutafsiri aje atusaidie https://www.newtimes.co.rw/article/24237/news/africa/tshisekedis-vast-armoury-in-goma-and-plan-toinvaderwanda
  3. MBOKA NA NGAI

    M23 yatangazia umma kuwa safari za Kivu Kaskazini na Goma zipo wazi masaa 24

    Mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, anapenda kuwafahamisha wakazi wa Kivu kasikazini na Kivu kusini, hasa miji ya Goma na Bukavu, kuwa miaro yote ya ya Goma na Bukavu kuanzia sasa inatoa huduma masaa 24,kuanzia kesho tarehe 18-2-2025 saa kumi na mbili asubuhi. Watoa huduma wote, wanatakiwa...
  4. MBOKA NA NGAI

    Goma: Raia waandamana kupinga uwepo wa MONUSCO na majeshi ya nje

    Leo hii, tarehe 17 Februari 2025, mjini Goma, asubuhi ya leo kumekuwa na maandamano; lengo likiwa wanajeshi wa UN waliopo Congo,hususani Goma, kwa zaidi ya miaka 20, waondoke, na kwamba usalama wao watahakikisha unatokana na wao wenyewe. Si MOUNUSCO tu, bali na jeshi la SAMIDRC(Afrika kusini...
  5. MBOKA NA NGAI

    GOMA: Wanajeshi wa FARDC waamua kujisalimisha kwenye kambi ya jeshi ya M23

    Baada ya wiki mbili, kufuatia vita vya serikali ya DRC na kundi la waasi la M23, wanajeshi wa FARDC, waliokuwa wamekimbilia kwenye kambi ya MONUSCO, wameamua kutoka na kujipeleka kwenye kambi ya jeshi ya M23 ili iamue yenyewe hatma ya maisha yao. Hili limetokana na maisha magumu waliokuwa...
  6. Waufukweni

    Mwandishi arekodi video kuonesha Wanajeshi wa DRC walioshindwa na M23 wanavyoishi kwa tabu Goma

    Mwandishi UMUTONI Adeline arekodi video kuonesha Wanajeshi wa DRC walioshindwa na M23 wanavyoishi kwa tabu Goma
  7. Tresor Mandala

    Goma kuwa Kivu Republican?

    Kufuatia waasi wa M23 wanasapotiwq na Rwanda kuukalia mji wa Goma kimabavu je ndio mwanzo wa kuigawa DRC? Wengi walisikia kuhusu mkataba wa lemera ambao unasemwa ndio uliwapa watusi (banyamulenge) eneo lakini baada Muzee Kabila akasema ni mkutano wa porini na yeye hana mamlaka ya kugawa nchi...
  8. Tresor Mandala

    Wanachofanya M23 kule Goma ni Sawa na Urusi kule Crimea

    Tumeshuhudia mapigano katika ya vikosi vya waasi wa M23 na majeshi ya Sadc pamoja na jeshi la Congo Lkn mpk Sasa M23 wametwaa na kuukalia mji wa Goma kimabavu na kuteua Magavana hii ni sawa na Urusi kule Crimea Leo mkutano wa upatanishi unaendelea lkn M23 walalamikiwa hawapo wanawakilishwa...
  9. The Watchman

    DRC kuwasilisha muswada kwa baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kutaka uchunguzi katika kile inachokiita ni ukiukaji wa haki mjini Goma

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inawasilisha muswada kwa baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa kutaka uchunguzi ufanywe katika kile inachokiita ni ukiukaji mkubwa wa haki katika mji wa Goma. Balozi wa Congo katika baraza hilo Paul Empole Losoko Efambe aliwaambia waandishi habari...
  10. Waufukweni

    Maelfu ya wakazi wa Goma wakusanyika uwanjani kusikiliza Hotuba ya Corneille Nangaa kiongozi wa AFC/M23

    Maelfu ya wakazi wa Goma Alhamis hii walikusanyika katika Uwanja wa Unity kuhudhuria mkutano wa hadhara ulioongozwa na Corneille Nangaa, mratibu/kiongozi wa Alliance Fleuve Congo (AFC/M23). Ambapo amewatambulisha maafisa wapya wa Kivu Kaskazini. Kwa mujibu wa msemaji wa AFC/M23, Laurence...
  11. MBOKA NA NGAI

    Raia Goma wakusanyika kuwapokea viongozi wapya

    Leo tarehe 6 January 2025, katika uwanja wa mpira wa Umoja huko Goma, raia wamefulika baada ya kualikwa kuwatambua viongozi wao wapya. Tofauti na matarajio, umati wa watu uliopo nje, unazidi uwezo uwanja huo. Link hapa, ni hali ilivyo kwa sasa nje ya uwanja huo. Mkutano huo wenye ajenda ya AmA...
  12. Braza Kede

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wahojiwa na Kamati ya Bunge Afrika Kusini kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao huko Goma, DRC.

    Waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wa Afrika Kusini wameitwa mbele ya kamati maalum ya bunge ya mambo ya ulinzi na kutakiwa kunyoosha maelezo kuhusu kushambuliwa kwa jeshi lao hadi kusababisha vifo kadhaa vya maaskari wao.
  13. MBOKA NA NGAI

    M23 yaweka viongozi wapya Goma

    Baada ya wiki, mji wa Goma mashariki mwa DRC, kuangukia mikononi mwa kundi la M23, uongozi huo umewaweka viongozi wapya, ili jamii iweze kuendelea kupata huduma za kiserikali. Bwana BAHATI MSANGA JOSEPH, ndo ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa. Ikumbukwe, siku za nyuma serikali ilimteua MAJOR GENERAL...
  14. MBOKA NA NGAI

    Goma: upande wa serikali wapoteza takribani watu 2500

    Katika zoezi linaloendelea huko mjini Goma, la kusafisha mji, shirika la msaraba mwekundu, limesema mpaka sasa zoezi la kuzika maiti zilizozagaa mjini linaendelea, na kwamba idadi ya waliokwisha zikwa imefika watu 2500(elfu mbili mia tano). Watu hawa, inasemekana ni wanajeshi wa FARDC na kundi...
  15. MBOKA NA NGAI

    Wanawake huko GOMA, washindwa kurejea makwao wakihofia kubakwa

    Baada ya mji wa Goma,mashariki mwa Jamhuri ya kidemokalasia ya Congo, wakimbizi waliokuwa katika maeneo ya jirani na Goma, walihamasishwa kurudi majumbani kwao, na kuhakikishiwa usalama wao. Waliotoa taarifa, wamesema mpaka sasa wana usalama wa kutosha,japo hawana imani kama hali hiyo...
  16. T

    Kwanini wakazi wa mji wa Goma wasihamishwe kwa muda ili kupisha operation ya kuwafurusha waasi?

    Njia nyepesi ya kuwafurusha waasi ni kuwahamisha wakazi kwa muda eneo salama atakayekaidi atahesabika ni muasi ahera Inamuhusu. Ifanyike operation kama IDF ilivyofanya Gaza kuwashughulikia Hamasi kwa kuwahamisha wakazi wa Gaza kabla ya kushusha moto ambao magaidi wa Hamasi wakaomba poo...
  17. Magical power

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  18. MBOKA NA NGAI

    Wakazi wa Goma wafanya usafi mji mzima baada ya mzozo uliotokea

    Baada ya kundi la waasi wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) kuuteka mji wa Goma, na waliokuwa wamekimbia vita kurejea majumbani kwao, leo tarehe 1 Februari 2025, kuanzia saa kumi na mbili mpaka saa tano asubuhi, kushirikiana na viongozi wakuu wa kijeshi kwenye kundi hilo...
Back
Top Bottom