Njia nyepesi ya kuwafurusha waasi ni kuwahamisha wakazi kwa muda eneo salama atakayekaidi atahesabika ni muasi ahera Inamuhusu.
Ifanyike operation kama IDF ilivyofanya Gaza kuwashughulikia Hamasi kwa kuwahamisha wakazi wa Gaza kabla ya kushusha moto ambao magaidi wa Hamasi wakaomba poo...
Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
Baada ya kundi la waasi wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) kuuteka mji wa Goma, na waliokuwa wamekimbia vita kurejea majumbani kwao, leo tarehe 1 Februari 2025, kuanzia saa kumi na mbili mpaka saa tano asubuhi, kushirikiana na viongozi wakuu wa kijeshi kwenye kundi hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.