Shule ya Sekondari Ulongoni A iliyopo Kata ya Gongolamboto inakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo uzio, miundombinu chakavu kwa baadhi ya madarasa na maabara.
Imeelezwa kuwa hali hiyo inachangia utoro kwa wanafunzi wengi pindi wanapohitaji haja binafsi na nidhamu ya ufaulu kushuka.
Mkuu wa...
Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
Habari za jioni
Kuna kaubishani kametokea site, sasa vijana wameshiba wanabishana kati ya Mbagala na Gongo la Mboto ipi kubwa zaidi?
Kwa anayejua ningependa kufahamu
Thank you
Kumekuwepo na taarifa zisizokuwa rasimi watu wakithubutu hata kusema milipuko yote iliyotekea katika makmbi hayo ni hujuma je wewe na mimi waweza kuhisi ni hujuma au ni bahati mbaya?
Maana kwa mtizamo wangu mimi ninaona ni uzembe!!Maana kama ingekuwa ni hujuma sidhani kama wanaofanya hujuma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.