gongo

A government-organized non-governmental organization (GONGO) is a non-governmental organization that was set up or sponsored by a government in order to further its political interests and mimic the civic groups and civil society at home, or promote its international or geopolitical interests abroad.

View More On Wikipedia.org
  1. Allen Kilewella

    Hivi uharamu wa Gongo, Bangi na kitimoto ni nini?

    Tangu nakua mpaka sasa nishazeeka nasikia kuwa Gongo, Bangi na Kitimoto ni haramu. Hivi uharamu wake upo kwenye nini hasa? GONGO Uharamu wa Gongo upo kwenye vikorombwezo vinavyotumika kuitengenezea? Kwenye vyombo vinavyotumika kutengenezea ama kunywea? Upo kwenye sehemu inaponywewa au kwa...
  2. MK254

    Wapiganaji 11 wa Urusi wauawa kwenye mafunzo

    Wakiwa kwenye mafunzo ya ulengaji shabaha, kwa ambavyo wamechanganyikiwa walianza kupigana risasi wenyewe kwa wenyewe. ===≈= At least 11 Russian soldiers were killed Saturday in a shooting incident that underlined the challenges posed by Russian President Vladimir Putin's hasty mobilization...
  3. MK254

    Marekani yaandaa kifurushi cha $1b kwenda Ukaine huku tukisubiri wanywa gongo wanaolazimishwa kwenda kufa Ukraine

    Marekani imeandaa $1b kwa ajili ya silaha za kuendelea kuwahami Ukraine ili watetee ardhi yao dhidi ya wanywa gongo wa Urusi wanaolazimishwa kwenda kufia Ukraine, baada ya jeshi rasmi kushindwa na kukimbia mapigano..... WASHINGTON (AP) — The U.S. will provide an additional $1.1 billion in aid...
  4. MK254

    Wanywa gongo walewa chakari wakiwa safarini kwenda kupigana pale wanajeshi wa Urusi wameshindwa

    Putin ameamua kukusanya wanywa vodka mitaani wakapigane pale ambapo wanajeshi rasmi wa Urusi wameshindwa mpaka kutoroka mapambano...... Chaotic scenes have been shared on social media following Vladimir Putin's mobilization decree amid reports that the authorities are looking to draft far more...
  5. S

    Ili kuondokana na tozo, Serikali ihalalishe gongo, kilimo cha bangi na kurasimisha pombe za kienyeji

    Ili kuongeza wigo wa mapato yatupasa kama taifa kuthamini na kuzalisha vya kwetu. Tusiwe mabingwa wa kukopi na kupesti tu. Mfano Usafiri wa bodaboda ulianzishwa miaka mingi nchini Nigeria kabla yetu. Kwa Afrika mashariki nchi ya kwanza kuruhusu bodaboda kuwa chombo cha kubeba abiria ni...
  6. ROOM 47

    Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

    Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
  7. Magazetini

    Mbunge Condester ataka gongo ihalalishwe, aenda bungeni na 'sample'

    Condester Sichalwe(Momba): Ni nini watu wa TBS wanaweza wakatusaidia kutoa makali ambayo yapo kwenye gongo yafanane konyagi, yafanane na pombe nyingine ambazo mnaziona za kifahari ambazo matajiri wanakunywa lakini wote wakinywa wanalewa. Nataka kuwaambia, pombe hizi za kienyeji ambazo...
  8. Gily Gru

    Mbagala Vs Gongo la Mboto

    Habari za jioni Kuna kaubishani kametokea site, sasa vijana wameshiba wanabishana kati ya Mbagala na Gongo la Mboto ipi kubwa zaidi? Kwa anayejua ningependa kufahamu Thank you
  9. Analogia Malenga

    Gongo yatajwa kusababisha saratani ya tumbo

    Utafiti mpya uliofanywa na wanasayansi wa shirika la kimataifa la utafiti wa saratani, IARC na wale kutoka Kenya, Tanzania na Malawi umebaini pombe kuwa kinywaji hatarishi na kichocheo cha saratani ya tumbo, ESCC, hususan miongoni mwa wanaume. Ukiwa umechapishwa katika jarida la kitabibu ya...
  10. chiembe

    Yanayompata Ndugai ni onyo kwa wengine "usimchezee chatu(taasisi ya Urais), gongo usimtupie, utaukosa ushindi"

    Wale waliodhani Wana deal na Samia, Sasa nadhani wanajua Wana deal na taasisi ya Urais moja kwa moja, taasisi hii ikifungua makucha yake, ni hatari sana. Pale Kuna full squad ambayo imeapa kumlinda Rais na Urais dhidi ya chochote, pale ndio chem chem ya ulinzi na usalama wa nchi. Ni angalizo...
  11. Kamanda Asiyechoka

    Mnamfukuza kazi askari anayesifia gongo(nipa) huku askari wanao tuhumiwa kutesa na kupiga watuhumiwa mnawaacha. Hii sio faira kabisa

    Kumekuwa na tuhuma nyingi sana za jeshi la polisi kuua kutesa na kupiga watuhumiwa. Lakini hatujawahi kusikia Igp au waziri Simbachawene akichukua hatua za kuwafuta kazi hawa askari wanaokiuka sheria za nchi. Kisa cha familia moja huko mkoani Mbeya kukataa kuzika kijana wao zaidi ya mwaka...
  12. ndege JOHN

    Wanawake wa Kusini wanaokunywa gongo hawajadhoofika

    Wakuu, maisha ya Kijijini na mjini kweli ni tofauti kuanzia lifestyle mpaka nguvu za mwili. Nipo huku Kanda ya Kusini pombe kuu ni mnazi au tembo kwa wale wa mwambao na pia gongo au pacho inayotengenezwa kwa Mabibo. Kinachonishangaza ni jinsi wakina mama wa masasi wanavyokunywa gongo aisee...
  13. Bushmamy

    Arusha: Eneo la wazi la makaburi Gongo inapouzwa na kunywewa wazi wazi

    Vijana wanaojiita Arusha boys ambao wameweka kambi eneo la wazi la makaburi karibu kabisa na stand kubwa ya mabasi ya mikoani wamekuwa wakiuza Gongo mchana kweupe kwa staili ya aina yake, Gongo hiyo huwekwa kwenye chupa maalumu za maji ya kunywa na pindi mteja anapokuja kutaka huduma hupimiwa...
  14. Mario Kempes

    Nini kilimkuta Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji mpaka kuanza kutembelea mkongojo akiwa Ikulu?

    Wamakonde wa Msumbiji wana visa kidogo! Aliyekuwa Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji aliwahi kupatwa na madhila akiwa Ikulu. Akiwa katika siku zake za mwisho za Urais aliwashangaza wananchi wake ghafla alipoanza kutembea na mkongojo huku akichechemea. Ukipata hapa Mitaa ya Maputo wananchi kuna...
  15. Ramon Abbas

    Inawezekana kuwekeza kisasa kwenye upikaji wa Gongo?

    Naona ndugu zetu wanahangaika sana kutumia kuni, Je tutumie mbinu gani kupika Gongo tupunguze matumizi ya kuni?
  16. M

    Bora kunywa gongo na viroba kuliko ushabiki wa mpira madhara ni makubwa zaidi

    Madhara ya ushabiki wa mpira unaoendelea kutamalaki Tanzania ni makubwa sana kuliko ulevi mwingine katika jamii(NAONGELEA “USHABIKI” SIO MAPENZI YA MICHEZO YA KAWAIDA) Umesababisha uvivu uliokithiri hasa mikoa ya pwani na baadhi ya miji ya mikoani Umesababisha wanafunzi, watoto wadogo kuanzia...
  17. ndege JOHN

    Kaburi lako litachimbwa na wanywa gongo

    Acha dharau kwa watu wenye hadhi ya chini kumbuka hakuna boss atakuja kuchafuka na vumbi akuchimbie kaburi..hao unaowaona ni watu wa maana hawawezi kuja kukusalimia ukiwa umelazwa ila ukifa tu wanachangia hata ng'ombe kwenye msiba wako, binadamu Ni wanyama siku hizi.
Back
Top Bottom