Google Pixel is a brand of consumer electronic devices developed by Google that run either Chrome OS or the Android operating system. The Pixel brand was introduced in February 2013 with the first-generation Chromebook Pixel. The Pixel line includes laptops, tablets, and smartphones, as well as several accessories.
Google pixel 4a kila mwenye nayo kipindi hiki zinaua betri. Huu ugonjwa ni kama umezilipukia simu za Google pixel 4a
Kuuza ni ngumu
Na wauzaji wa simu ukiwapelekea kufanya top up wanagoma, wanasema google pixel 4a ikishakufa betri habari imekwisha
Ukibadilisha ugonjwa wa kuuwa betri ukitumia...
Yani umejipinda kununua simu kali halafu uanze tena kutumia 4g wakati eneo lina 5g ya kutosha, Ahh wapi aisee !! miyeyusho hio !!
Ni tahadhari ya mapema kabisa naitoa, kama unataka kununua google pixel jifikirie mara 2, ukiachana na uadimu na bei pasua kichwa kwenye vioo kusababisha wengi...
Wadau, hivi hii IMEKAAJE ...Nina google pixel, nikiweka status video mtu mwenye iphone kwake haifunguki,na hata ukimtumia video haifunguki kwake. Tupeane ujuzi
Just in
Android 15 ndani ya Google Pixel.
Kwa harakaharaka Google wameamua kuwa serious kwenye swala la security kwani wameleta private space inayokuwezesha kuweka data zako na ku run application nje ya launcher ya kawaida.
Lakini pia hatimae Google wameleta Theft protection, je uu utakua...
Je, unataka simu bei chee?
Je, una abudget ndogo na unataka simu?
Je, unataka kufanya Top up au exchange?
Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako.
Exchange na Top up tunafanya!
Simu tulizonazo dukani ni;
📱Google pixel
📱aquous arrow
📱samsung
📱Iphone
📱LG
📱Sonny Xperia...
SIMU NI MPYAAAAAAAAA
Google Pixel 9 PRO XL
RAM 16GB
ROM 256GB
Camera 50MP
BATTERY 5060mh
TSH.3,650,000/=
Call/WhatsApp 0749417334
UBUNGO DARAJANI
SIMU NI MPYAaa
U hali gani mwana JF?
Nahitaji kufahamu simu aina ya Google Pixel nzuri, haijalishi ni mpya ama ya zamani, kikubwa iwe inapatikana kirahisi, simu yenye bei rafiki isiyozidi 300k, hata kama ni ya mkopo, yenye camera kali zinazoeleweka na kufanania range, mfano 50MP, 48MP, 40MP na 42MP Real...
Habari wadau. Ninauza Google pixel 4a.
Good condition ✅
🛜 5g
🗄️Gb 128.
🔋Inakaa sana na charge
📷 Kamera kali 🔥
Location: Dar es salaam. Mbezi juu (kwa sanya) , Goba Road
Price; 280,000/=
Jamani naombeni mwenye ujuzi na hizi simu za google pixel anisaidie, in short nina google pixel 5g a hii ilikua poa tu lakini ikaanza kuna wakati naichaji inaniandikia hili neno liquid debris then inaacha kuchaji nilichokua nakifanya nikuchomoa chaja na kuirudishia tena inaendelea kufanya kazi...
Habari Wakuu,
Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana,
Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
Hivi karibuni nilinunua simu ya google pixel 4xl ambayo nimeitumia Kwa takribani miezi 5 then ilizima ghafla na ever since haijawaka tena despite kujaribu kuipeleka Kwa mafundi mbalimbali wa simu, huko nimekuta kwamba hili ni tatizo sugu Kwa hizi 4xl ,yaani ikizima ni matanga na msiba moja kwa...
Sony,
Lg,
Smart watch za Android…
Ku share experience zao katika utumiaji..!
Taarifa zote mpya za bidhaa zitumiazo android OS
Changamoto na suluhisho za kifaa husika..
Na mengine Mengi zaidi
Brand : Google Pixel
Model : Google Pixel 5a
Network: 5G
Ram : 6 GB
Storage: 128 GB
Screen Size: 6.34 inches
CPU : 2.4 GHz
Cover la sim gumu unapewa bure
Bei: 430,000/=
Sim bado ipo kwenye hali nzuri kama mpya, haina mikwaruzo, vidoti n.k
Nipo Dar es salaam
Karibuni sana
Hizi simu bana Bora uchukue zako Infinix au Samsung, Nimeinunua miezi 6 iliyopita. Lakini shida iianza Jana inawaka Lakini mwanga unakuwa hafifu saaana, Mwisho kabisa ikazima jumla mwanzo nilijua itakua na shida ya taa ya KIOO, Lakini sasahivi imezima kabisa haionyeshi kitu, lakini unasikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.