Wakati akichambua magazeti leo asubuhi katika kipindi cha Watanzania Tusikilize Magazeti cha Radio Free Africa kapotosha kwamba SGR ni STIGLERS GORGE.
Hii inamaanisha kwamba Watangazaji wetu huwa hawana elimu pana kuhusu mambo endelevu yaani CONTEMPORARY ISSUES ambayo kama waandishi wa habari...
Habari,
Kuliwahi kutokea madai yakisema kuwa Olduvai Gorge ipo nchini Kenya. Rosemary Odinga alisema Olduvai Gorge ipo Kenya, Tazama video hapa chini:
Je, mnaweza kutusaidia kuweka kumbukumbu sawa hili?
Kwanza nianze kwa kusema mimi si mpenzi mkubwa wa Rais wetu aliyepita, JPM.
Hata hivyo, pamoja na figisu nyingi za JPM katika mambo mbali mbali, mengine ambayo yalikuwa miradi ya upendeleo ulio wazi kimaeneo, katika mradi wa bwawa la umeme Stieglers alikuwa spot on.
Mradi wa ujenzi wa bwawa la...
Huu mradi wa maji ya kuleta umeme wa nyerere tumekuwa tukidanganywa kila siku kuwa utakamilika June 2022, kitu ambacho c Cha kweli hata kidogo, pia tukidanganywa Mwezi wa 11 maji yataanza kujazwa kwenye bwawa huu ni uongo mkubwa, kwanini nasema hivo
1. Njia za kupeleka maji kwenye mashine...
NINI TAFSIRI YA MEGAWATTS 2,115 ZA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE (Stiglers Gorge)?
Wengi tunaona na kusikia kuhusu habari ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa maji wa Megawatts 2115 kutoka kwenye Mto Rufiji, mradi uliobuniwa na Mwalimu Nyerere toka mwaka 1975 na sasa...
Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.
Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani...
WAZIRI wa Nishati, Dk Medard Kalemani amesema kazi ya ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa nguvu za maji ya Mto Rufi ji eneo la Stiegler’s Gorge, unatarajiwa kuanza Julai mwaka huu.
Dk Kalemani alisema jijini hapa jana kuwa hatua hiyo ya kuanza kwa mradi inatokana na kazi ya tathmini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.