Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia Masuala ya Elimu Duniani (Global Partnership for Education (GPE) ameongoza Vikao vya Bodi ya Taasisi hiyo vinavyofanyika Jijini Paris, nchini Ufaransa kuanzia tarehe 5 hadi 7 Disemba...