Wakuu kwema? Nilikuwa naomba ushauri wa duka au sehemu gani naweza nunua desktop computer yenye uwezo mzuri wakufanyia kazi zangu za productions (video editing na graphic design). Nina bajeti ya shilingi laki tano.
Ahsante
Nime soma course ya computer graphic miaka minne kutoka JWTZ Kama kuna mtu anatafuta kijana wa computer graphic anaye weza kutengeneza kama photoshop, photography, logo design, web design, app design, video director nipo hapa 4 years experience.
Lakini pia nina mafunzo ya ukamanda kutoka JWTZ...
Habari,
Nahitaji graphics design mwenye outstanding skills.
Requirements
1. Lazima awe na uzoefu na skills na software mbali mbali za design.
2. Lazima aweze kutafuta masoko / marketing na kufikia malengo.
3. Awe na ushirikiano na team members na kukamilisha kazi Kwa wakati.
Mashahara: 300k...
GRAPHIC DESIGNER
Industry : Print /Digital Media Job Function : Art / Design
Job Experience Level : Mid Level
Minimum Years of Experience : 2-3
Minimum Academic Qualification : Bachelor
Job Summary
The purpose of this job holder is to create and develop communication material for MCL and...
Graphic card: amd radeon rx 470 4GB
Wale wapenzi wa games 3d & graphics basi hii kitu ni mwisho wa matatizo yako
Bei 400000/=
Karibu whatsapp number 0759377457
tembelea hapa kupata specification zake https://www.amd.com/en/products/graphics/radeon-rx-470
Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam.
Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing pia computer skills, marketing, communication skills niko flexible kwenda popote na naahidi...
Habari Wadau,
Kijana mwenye uwezo wa kufanya Intern ya Graphic and Design
Anicheki wakuu,
Kuna fursa imejitokeza au atume mail kwa kassa.mwakambaya18@gmail.com
Ahsante
Job title: GRAPHIC DESIGNERS (2 position)
Location: ARUSHA, Head office
Reports to: Managing director
Projects: SOKOKUUONLINE AND TANCH EXPRESS APP
SUMMARY:
AA TANCH holding company ltd is a private limited company established in 2018.It focused on connecting buyers to seller, dedicated in...
bei 350k imepungua to 300k
location mwenge mpakani 0787202143
used Dell latitude e6430 nzuri for gaming and graphic
processor :intel Core i7-3520qm clock speed 2.6 GHz and 3.6 GHz with turbo boost
ram 8 gb
hard disk 500gb
2 graphic card
1.intel hd 4000;
2.NVIDIA nvs5200m (1gb dedicated)...
Kwa mwenye uhitaji wa Graphic Designer, natafuta kazi:
Ninao uzoefu wa kutosha kwenye Designing na Printing katikaViwanda.
Ninauzoefu wa miaka kumi (10) katika Designing na Printing, nikitumia Programs za:-
Adobe Photoshop, Illustrator, InDesign, Coral Draw, Quick Express na Microsoft Office...
Naitwa Doen Graphic nimtalam na mbobezi katika maswala yafwatayo..
... NINAUWEZO WA KUEDIT PICHA KWA KUTUMIA PROGRAM YOYOTE YA KUEDIT PICHA.
...NINAUWEZO WA KUEDIT VIDEO ZA AINA YOYOTE NA KWAKUTUMIA PROGRAM YOYOTE .
...NINAUWEZO WA KUTUMIA PROGRAM KAMA ADOBE C6 , ADOBE C6 2019 KIKAMILIFU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.