graphics

  1. Graphics hizi shida ipo wapi?

    ...
  2. Tunafanya graphics , priting & packaging

  3. Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  4. Raja Casablanca wakejeli graphics za Simba

    Hivi karibuni, Simba wametoa poster moja ya "Kwa Mkapa Hatoki Mtu" ikiambatana na picha ya Moses Phiri akiwa vitani akiwa amezungukwa na moto. Mimi sijawahi kupenda hizi graphics toka enzi zile zinaanza kutumika ila nilijua kuna mambo ukiyasema nchi hii unaweza kupigwa mawe ingawa unaweza kuwa...
  5. Karibu kwa huduma ya graphics, mabango, stickers, logo, UI/UX design na zaidi. (Bei imeambatanishwa)

    LOGO DESIGN Bei: 50,000/= 2 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo. 70,000/= 3 Logo Concepts ikiwa na raundi mbili za masahihisho kwa kila Logo. BRAND IDENTITY Bei: Tsh 100 000/= Logo, pamoja na patterns, matumizi ya rangi, na elements muhimu zinazobeba brand...
  6. MSAADA: Ni kozi gani ya kusoma chuo ili kujua mambo ya graphics design na motion?

    Nahitaji kujua kozi inayohusiana na graphics designing na motion graphics chuon, ni course ipi naweza kwenda kuisoma kwa wanaofaham?!
  7. Mwisho wa graphics designers huu hapa

    Ni wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho wao Ni ujio wa APP ya CANVA App ambayo inamruhusu mtu yoyote kudesign chochote bure kabisa na kama...
  8. Hp pavilion 15 core i7 8th gen nvidia graphics

    Je hii laptop wakuu ipo vizuri kuhimili Gaming, ubora wake ni upi na uthaifu wake ni upi? Kwa wanaofaham kuhusu mambo ya games kwenye pc. Kwa games za online (eg pubg) na offline pia.eg (far cry) na mengine.
  9. Kwanini Graphics Designer Wanashindwa Kutengeneza Pesa?

    Kama umewahi kujaribu kuanzisha biashara wewe mwenyewe utakuwa unaelewa ilivyo ngumu kuanzisha biashara yenye mafanikio. Aina ya biashara unaweza kuanzisha ni nyingi mno, kiasi kwamba wengi huwa hawajui wanaanzia wapi. Tukiongelea creators kama graphics designers, wanapoanza huwa wanakubali kazi...
  10. Je, una mtu mwenye ujuzi wa 'Graphics & Video Editor' ?

    Graphics & Video Editing Your profile: Strong communication skills with the ability to discuss any issues with a wide variety of individuals and groups Capability to produce content on time, with attention to detail, and an emphasis on identifying and pitching to a target audience A...
  11. Natengeneza vipeperushi ,business card , social media post , product label na ishu nying za maswala ya graphics designing ikijumuksha mabango n.k

    Naitwa sharifu mussa, ni graphics designer wa Ot Technology, karibuni sana wateja kupata huduma mbali mbali za graphics designing ikiwemo label za bidhaa , business card, mabango ,. Gharama zetu ni stahiki sana na kazi zenye ubora. Wasiliana nasi. +255 620 155 490 Follow us Ot technology tz
  12. Basics za Graphics Design - Layout, Blocking, Typography na Colour

    Habari wana JamiiForums, na wadau wa humu kwenye Tech & Gadgets Forum nimeona sio mbaya leo kushare basics za Graphics Design kwa wale ambao wanafanya hii kitu tayari au wale ambao wana interest ya kutaka kuanza. Nitaongelea mambo matano, Basics za Layout Design, Blocking, Typography na Colour...
  13. M

    Graphics designer anahitajika haraka

    Sifa Uwezo wa kuandaa matangazo ya video, animations, posters, banners, n.k Moyo wa kufanya kazi ya kujitolea Kituo cha kazi itakuwa Goba, Dar Es Salaam Hata akitaka kufanyiakazi nyumbani kwake/kazini kwake ili Mradi malengo ya kampuni yatimizwe kwa- wakati Mshahara ni TZS 300,000 kwa- mwezi...
  14. N

    AIBU KUU:KITENGO CHA GRAPHICS KILISAHAU KUBADILI FONTS "MATOKEO YA 12-0"

    Ni muhimu sana kitengo chetu cha graphics kiwe very careful katika propaganda za kuwafurahisha wanachama na mashabiki wetu kwani katika kundi la wajinga wwalio wengi kuna wajanja wachache wana o notice vitu vidooogo kama vile FONTS zilizotumika...kwenye picha ya okrah weupe haujatolewa vizuri...
  15. N

    KIBUYU KIMELIA TFF ANAHAHA KUTAFUTA HURUMA(nitatengenezea graphics)

    Lile jamaa libabe la mdomo na kutukana watu hovyohovyo limekula nyundo huko kinachosubiriwa ni kutangazwa rasmi licha ya njemba hilo kulialia kupitia kwa wanasiasa waliombee msamaha.... nitalipia graphics za hali ya juu kutambulisha habari hiyo ambapo nishaaongea na wataalamu kadhaa wa kazi...
  16. Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

    Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo? Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
  17. M

    Graphics designer mwenye uzoefu na masoko anahitaji haraka

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
  18. Wakuu naomba Kazi ya graphics. Kazi zangu na uzoefu nimeambatanisha

    Salaam wakuu. Natumai wote mpo wazima. Naomba kazi ya Graphic Design kama • Kudesign logo • Kudesign business cards • Kudesign presentation Yaani kiujumla any design kwa kutumia • Adobe photoshop • Adobe Illustrator Uzoefu wangu ni miaka 2, Sijafundishwa chuo nimejifunza...
  19. Unahitaji Logo? Ingia hapa

    Watu, salamu kutoka Azma Africa. Uzi huu ni mahsusi kwa yeyote anaehitaji Logo na anaamini tunaweza kufanya nae kazi. Zifuatazo ni hatua ambazo kwa kawaida huwa tunazifuata mpaka kukamilisha zoezi la kutengeneza Logo ya mteja, karibu. Hatua ya kwanza: Utatupa maelezo ya namna...
  20. M

    Mfanyakazi wa graphics na video production anahitaji

    Utangulizi Glaness graphics and design inamilikiwa na Flydream Company Limited. Inahusika na huduma mbalimbali mfano kutengeneza flyers, banners, video editing, video shooting, T-shirt printing n.k Tunatafuta mtu aliye tayari na uzoefu katika maeneo haya: Sifa 1. Uwezo wa kutumia computer...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…