Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu.
Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena mbele yenu kwa unyeyekevu Nikiomba ni mpate muwekezaji ili kuweza kulikamilisha wazo langu Baada ya...
Habari wana JF,
Naombeni ushauri nataka kununua laptop kwa ajili ya graphic designing.
Je, ninunue laptop ipi?
Naomba ushauri wa brand na aina. Mkifanya description kubwa mtanichanganya.
Mfano ukisema lenovo thinkpad T350, inakuwa rahisi kwa mimi kwenda madukani na kuitafuta.
Bajeti yangu...
Rejea Post yangu ya Natafuta kazi ya Graphics Designer..
Naitwa NICKSON AIVAN,
Nilipokuja kwa mara ya kwanza kutangaza nataka kazi ya kuwa graphics designer wanaJamii Forums mlinitia moyo na wengne kunitafuta kunipa tenda nashukuru sana
Kama unatafuta mtu wa graphics ofisin kwako au unakazi...
Habari zenu wakuu?
Jina langu haimaanishi najua kila kitu ila ni ndoto yangu kuwa a great grapher but nataka kuulza hivi kuanzisha photo studio ikiwemo kupata camera nzuri ya kuanzia kazi inagharimu shingapi?
Naomba msaada wenu wakuu.
Naitwa NICKSON AIVAN,
Natafuta kazi ya Graphics Designer (Adobe Photoshop, Adobe Illustrator na kiasi kwenye After Effect na Premier Pro) nina uzoefu wa miaka mitano kwenye fani hii pia ni mshindi wa Best graphics designer kwa wanafunzi wa Dar es salaam (UniAward 2019/2020) sifa nyingne ni kama...
Habari wana JF
Natoa huduma za utengenezaji wa graphics kama ifuatavyo
Natengeneza LOGO kwa matumizi ya ofisi,biashara au matumizi binafsi.Bei ya kutengenezea logo ni Tsh 30,000 na ukinitafuta
tutazungumza kuweka mambo sawa
Natengeneza FLYER kwa ajili ya kutangaza biashara yako kwa Tsh...
Katika kipindi hiki cha janga la virusi vya CORONA (covid-19) tunafahamu sote mambo mengi yanaenda kidigitali(mtandaoni) zaidi hivyo utahitaji post zako ziwe za kuvutia kwa wafuasi na wateja wako.
Hivyo tunakukaribisha kwa mahitaji ya vyote taja hapo juu ikiwemo kwa wasanii chipukizi hata...
habari zenu wakuu,
kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 50,000 tu unapata brand logo yako nzuri na yakuvutia...
pia ukiitaji POSTERS zenye kuvutia wasomaji tunadesign kwa 20,000 tu...na pia ukiitaji...
Karibu, Tunatoa huduma zifuatazo kwa bei nafuu:
1. Graphics design
a. Logo Design
b. Brochure Design
c. Banner Design
d. Flyer Design
e. Products Brand Design
f. Software Layout Design
2. Software Development
a. Website Design and Development
b. Blog Design...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.