Ishawahi kunikuta hii
Niliwahi kudate na wadada wawili kwenye chuo kimoja
Sijui ikawaje wale wadada wakajua kuwa nadate nao wawili
Wakatengeneza group la Whatsap wakaliita 'Mume Wetu'
Siku hiyo nimeamka, nakuta hilo group limefunguliwa usiku mzima walikuwa wanatuma screenshots, zawadi...