Ushawahi kuundiwa group la WhatsApp kwa ajili ya watu kukutukana?

tucker carlson

Senior Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
182
Reaction score
759
Ishawahi kunikuta hii

Niliwahi kudate na wadada wawili kwenye chuo kimoja

Sijui ikawaje wale wadada wakajua kuwa nadate nao wawili

Wakatengeneza group la Whatsap wakaliita 'Mume Wetu'

Siku hiyo nimeamka, nakuta hilo group limefunguliwa usiku mzima walikuwa wanatuma screenshots, zawadi nilizowanunulia na mitusi kedekede

Siku ile ndo nilijua kuwa wanawake wana matusi kuliko wanaume. Kuna matusi nilitukanwa hadi nikaenda kugoogle

Baada ya kama masaa mawili ilibidi niondoke kwa lile group.

Hali kama hii ishawahi kukuta?
 
Hawa wangepata nafasi wangekunyonyoa fuzi kwa mikono😂
Ishawahi kunikuta hii

Niliwahi kudate na wadada wawili kwenye chuo kimoja

Sijui ikawaje wale wadada wakajua kuwa nadate nao wawili

Wakatengeneza group la Whatsap wakaliita 'Mume Wetu'

Siku hiyo nimeamka, nakuta hilo group limefunguliwa usiku mzima walikuwa wanatuma screenshots, zawadi nilizowanunulia na mitusi kedekede

Siku ile ndo nilijua kuwa wanawake wana matusi kuliko wanaume. Kuna matusi nilitukanwa hadi nikaenda kugoogle

Baada ya kama masaa mawili ilibidi niondoke kwa lile group.

Hali kama hii ishawahi kukuta?
 
Wanawake ni viumbe wabaya sana

Si mnamwona chura kiziwi?
 
Back
Top Bottom