tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
- Thread starter
- #21
Hao uje uwape mwaliko uwapige miti wote wawili kwenye kitanda kimoja na kwa wakati mmoja
Mkuu 😎
Hao uje uwape mwaliko uwapige miti wote wawili kwenye kitanda kimoja na kwa wakati mmoja
Una date na watoto
Bado wako kwenye level za kuchanganywa na mapenzi 🤦🏽♀️Wadogo sijui wanaferi wapi..
Ushazoea sioHiyo mbona kawaida sana.
Level ya chuo aisee sisi mbona huko tulikua tunawaza vitu tofauti kabisa walipokua kidato cha nne au sita walikua wanafanya nini..Bado wako kwenye level za kuchanganywa na mapenzi 🤦🏽♀️
Haya mambo yanatokeaga sana Sema saiv yanafanyika kidigitaliUshazoea sio
Walikuwa wanasoma, ukute ni masomo ya ukandarasi na udaktari😎Level ya chuo aisee sisi mbona huko tulikua tunawaza vitu tofauti kabisa walipokua kidato cha nne au sita walikua wanafanya nini..
Yani mkikutana ni kazi kazi ndiomaana kupata chemistry na mtu sasa hivi ni ngumu kweli!Haya mambo yanatokeaga sana Sema saiv yanafanyika kidigitali
Mwisho wa siku lazima mambo yaende.Yani mkikutana ni kazi kazi ndiomaana kupata chemistry na mtu sasa hivi ni ngumu kweli!
We kwai umejisahau unavyokuwaga na matusi humuWomen are insecure, ndo maana midomonyao huwa imejaa matusi tu ili kujihami
Hayo ndio marahisi kuliko ya miandiko..Walikuwa wanasoma, ukute ni masomo ya ukandarasi na udaktari😎
Mimi huwa situkani ovyo huwa nina rudisha energy iliyoletwa na mtuWe kwai umejisahau unavyokuwaga na matusi humu
😂😂😂 nimechekaaa.Group la Whatsapp ata alinogiii
Mambo ni kijiwe nongwaaaa dah wanakuja na taka taka zote zingine zimebebwa kwa vibesenii, na wapuliza tarumbetaaaa ... Unatoka mwenyewe kuomba pooo chezea swaziij weeee
Nimewiwa kuyajua na mie. 😂😂😂Hayo matusi uliyogugo nayaomba 🤣🤣🤣
Nina kazi nayo
Usingeondoka. Ungewakutanisha kwa 3some moja matata sanaBaada ya kama masaa mawili ilibidi niondoke kwa lile group.