Kuna jamaa yangu alichukua mkopo online kwa hivi vi app uchwara, akachelewesha kulipa, wale jamaa wakamuundia group la WhatsApp kishs tukawekwa watu wake wote tuliopo kwenye phone book ya jamaa, oya wale ******* wana matusi sijawahi kuona..jamaa ikabidi alipe deni la watu