group

  1. Wagner Group: Wanajeshi wa Ukraine waliozingirwa huko Soledar ama wamejisalimisha au wameuawa

    Soledar Down! Hawa Wagner si ndo tuliambiwa wamesambaratishwa?. Anyway Kherson Offensive iliishia mtoni na hakuna offensive yeyote mpaka sasa. Time will tell. Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena Soma: Ukrainian soldiers surrounded in...
  2. Ubunifu unaiua Sahara Media Group

    Wapwa, kuna taarifa inasambaa kuhusu mgomo wa wafanyakazi Sahara Media Group, kwamba hawajalipwa mishahara miezi mitatu sasa sababu kampuni haina hela. Mi huwa nawaza Sahara ni media kubwa na ni kongwe sana ila program zake ni local, kitu ambacho hakiwavutii wanamatangazo. Quality ya vipindi...
  3. M

    Hili kundi la Yanga mchekea sana, Timu hapo ni TP Mazembe tu nayo siku hizi imezembea

    CAF CONFEDERATION CUP 2022/2023 Group D: 1: TP Mazembe (RDC) 2: US Monastri (TUN 3: Young Africans S.C. (TAN) 4: Real Bamako (MLI) Sasa hapo timu inayojiita ya wananchi ishindwe yenyewe tu kuongoza kundi. Hakuna timu hapo, na hiyo TP Mazembe imebakiza jina tu, imezembea sana!! Timu kali za...
  4. Video: Mamluki wa Urusi, Wagner group wauawa kama nguruwe

    Hivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu...
  5. Kama Simba SC iliyocheza juzi na Kagera Sugar FC ndiyo itakayocheza hatua ya makundi CAFCL tunaenda kuiaibisha nchi

    Sitaki kuiamini sababu kuwa Kusafiri kwa Basi kwenda Kagera ndiyo kumesababisha Uchovu ule Uliioonekana kwa Wachezaji walipocheza na Kagera Sugar FC. Ila nikiambiwa moja wapo ya Sababu hizi za Kiuchunguzi nilizozifanyia Kazi nitaaziamini tena kwa 100%. 1. Posho za Wachezaji Kulimbikizwa huku...
  6. Afrika Kusini: Mgawo wa Umeme wasababisha Bosi wa ESKOM Group kujiuzulu

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Eskom Group Andre de Ruyter amejiuzulu huku nchi ikikabiliwa na matatizo ya kukatika kwa umeme (kukatwa kwa umeme kulikopangwa). De Ruyter anaacha wadhifa wake karibu na tarehe ya alipochukua wadhifa huo Desemba 25, 2019. Hii ni mara ya pili kwa nchi hiyo kufikia kiwango...
  7. Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Africa, Simba na Yanga mchana huu watakuwa wakifuatilia droo ambapo makundi yatapangwa. Droo hii itaanza saa 8:00 kwa masaa ya hapa nyumbani. Hivyo karibu jukwaani ujue nani kapangwa na nani? Droo itakuwa live...
  8. Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena

    Hawa Wagner ndio kete aliyokua amebaki nayo Mrusi, maana ameishiwa wanajeshi ambao wamefyekwa balaa. Sasa makao makuu ya Wagner yamefanywa majivu....mbele kwa mbele twende wanetu Ukraine, likomboeni taifa lenu. Vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, nimeona habari nyingine leo Crimea...
  9. Kwanini unamuingiza mtu kwenye kundi (group) bila ridhaa yake?

    Ewe admin, Labda mtoto wako anaoa, anagraduate, kipaimara, au la shule huko, hivi kwanini una muadd mtu tu bila taarifa? Yaani nani kakwambia kwamba I'm interested in groups' chat? Halafu nani kawaambieni nyinyi maadmin kwamba ukimuadd mtu then akaleft hataki shirikiana nanyi? Kwani ukishanipa...
  10. D

    Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

    Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata! Cha msingi lengo ni huduma bora! Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona! Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
  11. KUELEKEA HATUA YA MAKUNDI CAFCC: Nazionea huruma sana St. Eloi Lupopo na US Monastir

    Matokeo ya mechi (In Aggregate) za playoff za kuwania hatua ya makundi za CAFCC katika msimu wa 2022/23 ni kama ifuatavyo: Marumo Gallants 3-1 Al Ahli Tripoli CS Sfaxien 1-2 ASKO St Eloi Lupopo 1-0 RC Kadiogo Diables Noirs 6-2 La Passe Al Akhdar 4-4 Plateau United Club Africain 0-1 Yanga Future...
  12. Nilichojifunza kutoka timu za Tanzania ambazo zimefuzu group stages za CAFCC na CAFCL

    Mwaka jana vijana wangu wawili walikuwa wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikuwa akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikuwa akifanya mitihani ya darasa la 4. Matokeo yao yalipotoka mwaka huu yalikuwa hivi:- 1. Huyu wa darasa la 4 alifaulu kwa kupata A zote. Nyumbani...
  13. Je, wana Yanga SC baada ya Kufuzu hatua ya makundi CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la 'Losers'?

    "Simba SC (Makolo) waache kujitutumua kushiriki hilo, Kombe la Shirikisho kwani ni Kombe la watu walioshindwa (Losers) na wanamume pekee wamebaki kule Kombe la Klabu Bingwa na ndiyo wa kuwaheshimu", Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara. Nitashukuru sana mno wana Yanga SC wote (hasa hasa...
  14. Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

    Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal...
  15. Commonwealth Observer Group publishes final report on Zambia’s 2021 elections

    The Commonwealth Observer Group (COG) to Zambia released its final report on the 2021 general elections, which saw Hakainde Hichilema become the country’s seventh President. The 14-member delegation, led by the former President of Tanzania, H.E. Dr Jakaya Kikwete, concluded that despite some...
  16. Dance groups wanayocheza barabarani kwa kisingizio cha kumtumikia Mungu wapimwe akili

    Haya makundi ya wacheza muziki kumsifia Yesu si sahihi(hii style ya kupiga (mauno) Wanafanya makosa makubwa katika Imani inayohusu waumini lukuki. Mbaya zaidi wanawashirikisha watoto wadogo chini ya miaka 18. Haki za Watoto zinabakwa.
  17. Jionee mwenyewe Yanga na Al hilal nani zaidi? Group stage caf confederation cup 2018

    Kipindi hicho 2018 Yanga na Al hilal walifanikiwa kuingia group stage 2018 kombe la shirikisho ukilinganisha takwimu zao utagundua kuwa Al hilal ni timu ya kawaida sana Si kama wanavyoipaisha wachambuzi wa kibongo
  18. Subcontracting Officer – Logistics at Alistair Group

    Subcontracting Officer – Logistics Dar es Salaam Alistair Group Alistair Group makes our clients’ businesses work better in Africa by self-delivering integrated logistics solutions. Are you someone with a “hunger for growth”, a “whatever it takes mentality” and understand the advantages of a...
  19. Economist at Tanzania Investment and Consultant Group Ltd

    Economist Dar es Salaam Tanzania Investment and Consultant Group Ltd Specializing in all aspects of Project Development ,Investment and Business consulting. EXCITING EMPLOYMENT OPPORTUNITY Tanzania Investment and Consultant Group Ltd is a consulting firm focused on serving the comprehensive...
  20. Internship at Tanzania Investment and Consultant Group Ltd

    Position: Internship Dar es Salaam Tanzania Investment and Consultant Group Ltd Specializing in all aspects of Project Development ,Investment and Business consulting. EXCITING EMPLOYMENT OPPORTUNITY Tanzania Investment and Consultant Group Ltd is a consulting firm focused on serving the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…