gta vi

  1. Mad Max

    GTA VI itakua balaa! Hizi Graphics sio poa!

    Nadhani muda wa kuwekeza kununua PS5 umefika. Huyu Lucia atakua my fav character.
  2. Mhaya

    Rockstar kusitisha matoleo mapya ya GTA games, GTA 6 ndio ya mwisho

    Wasanidi wa kampuni ya Rockstar wanapendekeza kwamba Grand Theft Auto 6 (GTA 6) inaweza kuwa toleo la mwisho katika mfululizo wa Grand Theft Auto tutakaotumia maishani mwetu. 🎮 🌟 Wananuia kusasisha mchezo (refresh the game) kila mara kwa misheni mpya, maeneo na miji mipya kwa njia za mtandaoni...
Back
Top Bottom