guangzhou china

  1. L

    Kusitishwa kwa baadhi ya safari za ndege mkoani Guangzhou hakutaathiri usafirishaji wa bidhaa nje ya China

    Hivi karibuni kulikuwa na habari kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi, inayosema usafirishaji nje wa bidhaa kutoka China uko kwenye hatihati, na makontena yamekwama kwenye bandari za mkoa wa Guangdong (Shekou, Chiwan na Nansha) kutokana changamoto ya virusi vya Corona...
  2. kokudo

    Zipi faida za kusafirisha Full Container au Loose cargo from China?

    Nimekuja tena kwenu wana jamvi naomba msaada wa kujua zipi ni faida za kusafirisha mzigo kama full container au Loose cargo kutoka China au Nchi za Wenzetu. Moja kuhusu gharama za usafirishaji. Pili kuhusu mambo ya bandarini mzigo ukifika. Nakukaribisha kwa mjadala. CC Top leader
  3. Mpinzire

    Mafanikio ya ATCL: Safari za moja kwa moja kutoka Tanzania kwenda Guangzhou China zaanza

    Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) imefanya safari yake kwanza leo alfajiri kuelea mji wa kibiashara Guangzhou nchini China. Air Tanzania itakuwa inafanya safari zake moja kwa moja toka Dar es Salaam, Tanzania mpaka Guangzhou nchini China huku ikitumia takribani masaa 11 ikiwa angani.
Back
Top Bottom