guardiola

  1. D

    Pep Guardiola atamchelewesha sana Haland kufika

    Kwanini alimtoa Halland jana wakati alihitaji goli moja kuvunja rekodi ya Messi? Au Pep ni mshabiki wa messi ambaye anajaribu kuzuia rekodi zake zisivujwe? Jamaa kwa kweli anazingua sana. Jamaa amekeua akimpunguzia sana Haland mabao. Kwa haraka hata goli 10 za ziada angelikua nazo kwa sasa...
  2. M

    Guardiola kwa aibu achezesha Waafrika Mancity lakini bado hatujaridhika

    Mzuka Wanajamvi! Baada ya kelele na malalamiko Pep Guardiola kocha wa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Manchester City amewapa nafasi za kudumu na kuwachezesha waafrika wawili Ake na Manuel Akanji. Wachezaji hao wanacheza katika safu ya ulinzi na wameweza kumudu vyema. Kwa hilo...
  3. Aaron Arsenal

    Pep Guardiola na Mapinduzi ya Soka

    Kwasasa mpira umebadilika sana tofauti na enzi za kina Ferguson, Arsene Wenger n.k miaka ya 2000s. Moja ya watu walioleta mapinduzi ya soka ni Pep Guardiolaz, huyu ana wanafunzi wake wengi sana aliokaa nao na wanaoiga uchezaji wake, kina Xavi Hernandez, Mikel Arteta, Erik Ten hag, n.k Moja ya...
  4. T

    Miamba ya soka ya Africa, Al Ahly wanamfuatilia kwa karibu kocha wa muda wa Simba Sc, Mheshimiwa Juma Guardiola Mgunda ili waweze kuinasa saini yake

    Amani iwe nanyi: Nimepokea taarifa za kushtusha kutoka katika chanzo changu cha kuaminika nchini Misri ikieleza kuwa Rais wa klabu ya Al Ahly, Mahmoud Ibrahim Ibrahim El Khatib ni mfuatiliaji mkubwa wa mechi za Simba Sc na amekuwa akikoshwa na uchezaji wa timu ya Simba toka kocha Guardiola...
  5. T

    SIMBA mpeni mkataba wa kudumu kocha Juma Guardiola Mgunda. Tutegemee soka biriani

    Uzi tayari
  6. VERDAD

    Pep Guardiola kweli ni mbaguzi wa rangi?

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana zikimuhusisha kocha huyu bora kabisa kuwahi kotokea ulimwenguni na ubaguzi dhidi ya watu weusi na karibuni alihusishwa na Yaya Toure, je lina ukweli hili ama shida tu ya kisaikolojia ya sisi watu weusi?
  7. let the caged bird sings

    Guardiola the machine

    Absolutely amazing scenes at the Etihad. Last time I saw this was at the same Etihad in 2012 And yesterday I couldn't resist my tears after observing Gudiola in tears. Actually it was my first time to see This Spanish dude in that situation. And then where are they those morons used to...
  8. T

    Ifikie mahali Sir Pep Guardiola apewe tu heshima yake

    Ahlan wa sahlan Wakati ulimwengu ukifurahia kuwaona wachezaji magwiji wawili walioitikisa dunia ,namaanisha Mreno Sir Cristiano Ronaldo na Sir Lionel Messi, tunasahau kuwa hakuna kocha aliyewahi kufundisha mpira wa burudani na wa ushindi kama Mhispania Sir Pep Guardiola. Sir Guardiola hapewi...
  9. Greatest Of All Time

    Guardiola: Kuna wachezaji wanafanya timu zicheze vizuri lakini hawapo kwenye takwimu

    Kocha wa Man City, mwalimu Pep Guardiola amesema kuna wachezaji wanafanya timu ziweze kucheza vizuri lakini hawaimbwi sana kwakuwa hawapo kwenye takwimu nzuri za kuvutia yaani magoli au assist nyingi. Hebu tuwataje wachezaji ambao Guardiola alijaribu kuwamaanisha! Mimi naanza na Joshua Kimmich...
  10. jiwe gizani

    Guardiola na laana ya wachezaji wa Kiafrika

    Mwaka 2018 wakala wa Yaya Toure alisema kua"Miungu ya kiafrika haitamuacha Guardiola ashinde CL miaka ijayo hii Itakua Kama laana ya kiafrika nawaambieni mda tu ndo utaongea kama nipo sahihi au laa" Leo guardiola kapoteza fainali ya UEFA dhidi ya Chelsea naona Kama laana ya kiafrika imemshukia...
  11. W

    Chelsea mabingwa wapya UEFA 2020/2021

    Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi? --- Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit: Alexander Hassenstein/Uefa via Getty Images Nothing less than a revolution against the Pep...
  12. R

    Guardiola hana kosa Aguero ndio katibua

    Habar wadau Kila kona ni malalamiko leo mikeka imechanika na mbaya zaid game ya simba vs yanga imepigwa chin na kiingilio ushalipia toka saa 2 asubuh watu wapo uwanjan wakasema saa 1 gafla wakasema hakuna kitu halaaaaa Ebu twende kwenye mada ukifuatilia media za nje watu wanamlaumu...
  13. marcoveratti

    Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

    Nimerejea tena kuitazama post yangu ya tarehe 2 June mwaka huu. Niliipa kichwa cha habari, "PEP GUADIOLA NI KOCHA WA KAWAIDAA MNOOO". nilitoa mtazamo wangu kuhusu hyu kocha uchwara anae chukuliwa kama 50 cent wakati ana hadhi ya 20% zimepita siku sabini toka niandike yale na nilipingwa sana na...
Back
Top Bottom