Mnamo tarehe 1 Machi 2025, maafisa wa ECOWAS waliotumwa nchini Guinea Bissau kuzungumzia tarehe mpya ya uchaguzi walilazimika kuondoka nchini humo baada ya vitisho kutoka kwa Rais Umaro Sissoco Embalo.
Uchaguzi nchini Guinea Bissau ulipaswa kufanyika Novemba 2024 lakini Rais Embalo ametangaza...
I salute you kinsmen.
Huyu jamaa kwa sasa amezidi kututibua nyongo watanzania kwa kiasi kikubwa sana
Inasemekana kuwa Tanzania wanaweza kupokonywa nafasi yao kushiriki Afcon na akapewa Guinea sababu hasa ni kuwa jamaa wameandika barua CAF kuwa.
Haya yote ni nonsense kabisa Guinea wanatapa...
GUINEA WANTS TANZANIA OUT OF #AFCON2025
Guinea has asked African football governing body, CAF to nullify Tanzania's #AFCON2025 qualification due irregularities cited in a report submitted by the West Africans.
In a game played at the Benjamin Mkapa stadium on Tuesday, Guinea says Tanzania...
Itachukua muda kwa hii record kufikiwa na vilabu vingine vya Tanzania
Tusisahau pia Manura kaingia kwenye kikosi cha Tz kuchukua nafasi ya A. Salim (kipa wa Simba) ambae alikua akidaka first eleven.
Its match day!!
Ni Tanzania Vs Guinea katika dimba la Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Ni mchezo wa kufuzu AFCON ya mwaka 2025 pale Morocco ambapo kundi H Taifa Stars inahitaji ushindi wa namna yoyote ili ifuzu wakati Guinea wao wakihitaji ushindi au droo ili waweze kufuzu.
Saa 10:00...
Leo Taifa Stars itapokea kichapo cha goli 2 kwa nunge.
Hatujawahi kuwa serious kwenye hatua za mechi za mwisho huwa tunafunga timu ambazo hazina wachezaji mhimu na wala hamna hicho kiwango mnachosifu Taifa,Taifa kuingia matopeni leo.
Watanzania mkae muelewe Sisi kama wa Guinea lazima tushinde Leo, mtaongea yote lakini Sisi kama wananchi wa guinea tunaoishi Tanzania kikazi tunawapasua Leo.
Kumbukeni hii sio Guinea-Bissau au Guinea ya ikweta ya kina BALTASAR400, hii NI Guinea Conakry lazima mfe, golini Leo pale tunamuweka...
Ili tubaki kama Taifa naombea Guinea ishinde. Itakuwa jambo jema sana. Taifa Stars huwa inakuwa ya wote inaposhindwa tu. Ikishinda kuna wartu wanaifanya kuwa ni yao.
Kile ambacho ulimwengu wote umeona kama kashfa ya kanda ya ngono inaweza kuwa sehemu tu katika tamthilia ya maisha halisi kuhusu nani atakuwa rais ajaye wa Equatorial Guinea.
Katika muda wa wiki mbili zilizopita, video kadhaa - makadirio ni kati ya 150 hadi zaidi ya 400 - zimevuja za mtumishi...
Inaripotiwa kwamba power struggle ya kumritithi dikteta mzee Teodoro Obiang Nguema wa Guinea mwenye miaka 82 aliyeitawala nchi hiyo kwa miaka 45 ndio chanzo cha kuvujishwa video za ngono za mpwa wake Baltasar Ebang.
Nadharia mojawapo ni makamu wa Rais wa Guinea ambaye ni mtoto wa Rais pia...
Mkurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) nchini Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, ameonekana akiwa amefungwa pingu na kupelekwa kituo cha polisi baada ya video za ngono zilizorekodiwa kuenea mitandaoni siku kadhaa zilizopta.
Engonga amekuwa gumzo kubwa kufuatia...
Zenón Avomo ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) akichukua nafasi ya Baltasar Engonga, aliyeng’olewa kufuatia kashfa ya ukiukaji wa maadili katika ofisi ya umma. Kashfa hiyo iliibuka baada ya uchunguzi kubaini uwepo wa video zaidi ya 400...
Wakuu habarini.
Hizi serikali zetu ngozi nyeusi zinapenda sana mambo ya kipuuzi ili kuzima ajenda zao Kwa wananchi
Kwa serikali yenye watu wenye akili kulikuwa na haja gani ya kuvujisha zile video za ngono?
Walienda kuchunguza kashfa za rushwa? Kwa nini baada ya kukutana na hizo video...
Inasikitisha sana kwa kile kinachoendelea kwenye Bara la Afrika.
Huku wananchi wanawachagua( kama kweli wanachaguliwa kwa kura) wakiamini wataenda maofsini kufanya kazi na kukuza uchumi, utawala bora, maendeleo ya viwanda na hali nzuri ikiwemo ustawi wa wananchi.
Kama ilivyo kwa vyama vyote...
Serikali ya Equatorial Guinea imeminya Mtandao wa Whatsapp Nchini humo ili Raia wake wasiweze kupakua (ku-download) na kusambaza picha pamoja na video kwa kutumia Whatsapp, kufuatia kashfa ya ngono inayomuhusisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha Nchini humo, Baltasar...
Watanzania wanajitia kushanga namna Baltasar alivyoweza kuwatafuna wanawake wenye kazi zao ama wake za vigogo 400.
Hapa bongo ni zaidi ya Equatorial Guinea, ni vile tu sheria zetu zimekuwa kali na huwazuia watu kuposti video za ngono mitandaoni. Vinginevyo tungeona machafu zaidi ya hayo...
Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani
Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko...
Kuna muda ukweli usemwe. Ndoa sio tena swala valid kwa miaka hii. Kama issue ya malezi ya watoto ni bora kutafuta njia nyingine ila sio ndoa.
Hebu fikiria wake za watu wanaliwa ofisini, beach, nk... wakiwa na furaha kabisa huku wakikubali kurekodiwa na kutoa ushirikiano wa hali ya juu kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.