Mwili wa Kanali wa Guinea ambaye alitoweka karibu mwaka mmoja uliopita uliwasilishwa jana kwa mkewe katika mji mkuu wa Conakry, mmoja wa Wanasheria wao alisema.
Kanali Celestin Bilivogui ni afisa wa pili wa Kijeshi katika miezi ya hivi karibuni kutangazwa kufariki katika Mazingira ya...
Hongereni shirikisho la soka la Zanzibar kwa kuzalisha vipaji vinavyokuja kulikomboa taifa la kichwa cha mwenda wazimu (hayati Ali Hassan Mwinyi).
Uzi tayari.
Guinea 1-2 Kizimkazi
FT
Taifa Stars leo inashuka dimbani kutupa karata yake ya pili leo jumanne saa moja jioni kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya Guinea baada ya kutoka sare na Ethiopia nyumbani.
Dakika,11 milango bado ni migumu kwa timu zote hadi sasa. Licha timu zote mbili zikioneka...
UPDATE
Kituo cha Taifa cha Majanga kimeomba Msaada wa Uokoaji kwa Jumuia za Kimataifa na kueleza kuwa takriban Watu 2,000 wamefukiwa na katika Maporomoko ya Udongo yaliyotokea Mei 26, 2024
Kituo hicho kimesema bado idadi kubwa ya Wanakijiji wamezingirwa na Vifusi, hawana msaada wowote na hali...
Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi kukabiliana na Waandamanaji wakati wa mgomo wa Wafanyakazi Nchini kote wakidai kupunguzwa kwa bei ya...
GUINEA: Rais wa Mpito, Mamady Doumbouya, amevunja Serikali ya Kijeshi bila kueleza kwa undani sababu za hatua hiyo huku akifanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri kuanzia nafasi ya Waziri Mkuu.
Taarifa zinaeleza kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Brigedia Jenerali Amara Camara amewataka Mawaziri wote...
Tuwaombeetu lakini mwenyeji sijui anapigaje
========
WENYEJI WA AFCON, IVORY COAST WAMEKUBALI KUPIGWA NA WAMEPIGIKA
Wenyeji wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Africa 2023 (AFCON), Timu ya #IvoryCoast imeishia Hatua ya Makundi baada ya kukubali kichapo cha magoli 4-0 kutoka kwa Equatorial...
Maafisa wa Jeshi wamemkamata Mwandishi wa Habari wa Ufaransa Thomas Dietrich Mjini Conakry, alipokuwa akichunguza madai ya ufisadi katika Kampuni ya Serikali ya Mafuta (SONAP) huku kukiwa na ripoti za kuzorota kwa hali ya Uhuru wa vyombo vya habari nchini humo
Vyanzo vya Habari vinasema...
Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani zilizotumika kuwafunza Viongozi wa Kijeshi wa Mapinduzi barani Afrika
Mnamo Januari 2022, Luteni Kanali...
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) inaanza leo Januari 13 ambapo Wenyeji #IvoryCoast watamenyana na #GuineaBissau kwenye Uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan.
#Tanzania inayoshiriki Michuano hiyo ikiwa katika Kundi F pamoja na #DRCongo, #Morocco na #Zambia itatupa Karata yake...
Papua New Guinea imekusanya vikosi vya usalama baada ya uporaji na ghasia nchini kote. Ufinyu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha kumezua hali ya kufadhaika katika taifa hilo la Pasifiki Kusini
Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape alitangaza hali ya hatari ya wiki mbili katika mji...
Waziri wa Sheria, Charles Wright, amesema Moussa Dadis Camara akiwa na Wanajeshi wengine wa ngazi za juu wametoroshwa katika Gereza la Central House walilokuwa wamefungwa ikiwa ni baada ya kutokea majibizano ya Risasi kati ya Jeshi na waliofika kumchukua.
Camara na wenzake walifikishwa...
Kiongozi wa kijeshi wa Guinea,Mamady Doumbouya hapo jana alipokuwa akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa UNGA kuwa mfumoj wa demokrasia haufanyi kazi kwa nchi za kiafrika.
Katika hotuba yake hiyo alisema nchi hizo ziache kuzilazimisha nchi za kiafrika kufuata mifumo yao ya kiutawala...
Mahakama Nchini #GuineaBissau imetoa adhabu hiyo baada ya kubaini kuwa Madaktari hao walihusika na matendo hayo dhidi ya M'Mah Sylla, aliyebakwa akiwa Hospitali na kuhamishiwa kutibiwa Nchini Tunisia mwaka 2021.
Waliohukumiwa ni Daniel na Patrice Lamah ambao wamepea kifungo cha miaka 15 jela na...
Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao 😀😀.
Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku anaingia viboko kumi na viwili na siku anatoka jela viboko kumi na viwili akamuonyeshe mkewe 😀😀.
Nyumba 2 na Jahazi (Super Yacht) 1, mali za Teodoro Nguema Obiang zimewekwa chini ya Ulinzi kwa agizo la Mahakama baada ya Mfanyabiashara Daniel Janse Van Rensburg kudai Kiongozi huyo alimkamata kinyume cha Sheria na kumtesa.
Mfanyabiashara huyo anataka kulipwa fidia ya Tsh. Bilioni 5.1...
Mmoja wa watoto wa mtawala mkongwe wa Equatorial Guinea amekamatwa na kuwekwa kizuizi cha nyumbani kwa tuhuma za kuuza Ndege inayomilikiwa na Shirika la Ndege la Taifa kinyume cha sheria.
Kw a mujibu wa Kituo cha TV cha Taifa, TVGE, Mamlaka zilifungua uchunguzi mwishoni mwa Novemba 2022 "baada...
Mtawala huyo wa muda mrefu zaidi duniani amechaguliwa tena kwa kupata 95% ya Kura huku chama chake kikishinda viti vyote Bungeni.
Imeripotiwa kuwa Upinzani wa Kisiasa dhidi yake umekuwa ukibanwa na Dola, pamoja na kuripotiwa ukandamizaji wa Vyombo vya Habari ambavyo vinamilikiwa na Serikali na...
Mawakili wa Rais wa zamani wa Guinea, Moussa Dadis Camara, wanasema amepelekwa jela kabla ya kusikilizwa kwa kesi yake ya kuhusika katika mauaji ya Halaiki ya Mwaka 2009.
Rais huyo anakabiliwa na kesi kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji, ambapo watu 156 waliuawa na maelfu kujeruhiwa huku zaidi...
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imekubaliana kuwawekea vikwazo watu wa karibu na Serikali ya Kijeshi ya Guinea kufuatia Mapinduzi ya Mwaka 2021 yaliyoiondoa Serikali ya Kiraia Madarakani
Viongozi wa Guinea wanasema wanahitaji miaka mitatu kuirejesha Nchi hiyo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.