guinea

Guinea ( (listen)), officially the Republic of Guinea (French: République de Guinée), is a coastal country in West Africa. Formerly known as French Guinea (French: Guinée française), the modern country is sometimes referred to as Guinea-Conakry, after its capital and largest city Conakry, to distinguish it from other countries with "Guinea" in the name and the eponymous region, such as Papua New Guinea,Western New Guinea, Guinea-Bissau and Equatorial Guinea. Guinea has a population of 12.4 million and an area of 245,857 square kilometres (94,926 sq mi).The sovereign state of Guinea is a republic with a president who is directly elected by the people; this position is both head of state and head of government. The unicameral Guinean National Assembly is the legislative body of the country, and its members are also directly elected by the people. The judicial branch is led by the Guinea Supreme Court, the highest and final court of appeal in the country.Guinea is a predominantly Islamic country, with Muslims representing 85 percent of the population. Guinea's people belong to twenty-four ethnic groups. French, the official language of Guinea, is the main language of communication in schools, in government administration, and the media, but more than twenty-four indigenous languages are also spoken.
Guinea's economy is largely dependent on agriculture and mineral production. It is the world's second largest producer of bauxite, and has rich deposits of diamonds and gold. The country was at the core of the 2014 Ebola outbreak. Human rights in Guinea remain a controversial issue. In 2011, the United States government claimed that torture by security forces and abuse of women and children (e.g. female genital mutilation) were ongoing abuses of human rights.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri wa zamani wa Guinea afariki akiwa gerezani

    Waziri wa zamani wa Guinea, Lounceny Camara (62) ambaye alifungwa jela akishutumiwa kwa ubadhirifu wa pesa za umma na utawala amefariki Dunia. Utawala wa kijeshi uliomuondoa madarakani aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Alpha Conde, mwaka 2021 ulishutumu viongozi kadhaa akiwemo Camara ambaye alipata...
  2. Wadau huko Equatorial Guinea, GB 1 ni Tsh 114,241

    Nchi Gharama Kwa 1GB in USD Kwa Tsh 1 Equatorial Guinea 49.67 114,241 2 Sao Tome and Principe 30.97 71,231 3 Malawi 25.46 58,558 4 Chad 23.33 53,659 5 Namibia 22.37 51,451 6 Central African Republic 9.03 20,769 7 Seychelles 8.64 19,872 8 Gambia 5.86...
  3. Guinea: Rais Alpha Conde kufunguliwa Mashtaka ya mauaji, utesaji na ubakaji

    Mamlaka za Guinea zimesema zitamshtaki aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Alpha Conde (84) pamoja na Maafisa wake 27 kwa makosa mbalimbali yaliyofanyiwa akiwa Madarakani. Mbali na mauaji makosa mengine wanayotuhumiwa kufanya ni mauaji, kuwekwa kizuizini kinyume cha Sheria, utekaji nyara, utesaji na...
  4. Kutana na Ulinzi hatari wa Grand P huko Guinea

    👇👇👇
  5. Marekani yaziondoa Ethiopia, Mali na Guinea kwenye Mfumo wa AGOA

    Serikali ya Marekani imeanza rasmi kutekeleza agizo la Rais Joe Biden la kuziondowa Ethiopia, Mali na Guinea kutoka makubaliano ya kibiashara kati ya taifa hilo na Afrika kutokana na uvunjwaji wa haki za binaadamu.M Marekanihivi leo imeziondosha Ethiopia, Mali na Guinea kutoka kwenye programu...
  6. Maisha siku za awali ya Waingereza waliohamia Australia na New Guinea

    Baada ya Uingereza kutangaza Australia kuwa ni koloni lao, walianza kupelekwa wafungwa wa muda mrefu, waliohukumiwa kifo na wale waliofungwa kwenye jela zenye ulinzi mkali. Walipelekwa pia watoto yatima na wale waliokua chini ya uangalizi wa social system.
  7. Kipigo cha mbwa koko: Algeria 6-1 Niger 😆

    Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Niger, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnakera 😄,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa bandugu, wanacheza kwa akili nyingi na kwa ushirikiano, unaweza sema hawaishi afrika hawa njemba. Soka lao lakipekee...
  8. Guinea: Rais wa Mpito ateua Waziri Mkuu

    Kanali Mamady Doumbouya ambaye wiki iliyopita aliapishwa kuwa Rais wa Mpito amemteua Mohamed Beavogui kuwa Waziri Mkuu. Mtumishi huyo wa zamani wa Umma atasimamia mabadiliko ya Utawala wa Kiraia. Imeripotiwa, Beavogui (68) ana uhusiano na Diallo Tellia ambaye ni Mwanadiplomasia wa zamani wa...
  9. Mapinduzi ya Guinea conacry yametufundisha kwamba wenye nchi ni wanajeshi

    Nimetafakari Sana mapinduzi mengi duniani na hasa haya ya hivi karibuni ya Guinea conacry kumbe kimsingi kabisa wenye nchi ni wanajeshi na sio hawa wanasiasa wanaotusumbua kwa vimidomo vyao. Dombouya alipompindua rais wake aisee rais alikuwa mpole Sana alikaa kwenye Kochi kwa utulivu Kama...
  10. Guinea: Jeshi lasema halitakubali kushinikizwa kumuachia Rais Alpha Conde

    Wanajeshi waliofanya Mapinduzi wamesema hawatakubali kushinikizwa na kumruhusu Rais Alpha Conde ambaye anashikiliwa tangu kupinduliwa Septemba 05, 2021 kuondoka Nchini humo Rais wa Ivory Coast, Alassane Ouattara na Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo walisafiri kwenda Mji Mkuu wa Guinea, Conakry...
  11. ECOWAS yatangaza vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Guinea

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeweka vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Nchini Guinea wakitaka Uchaguzi Mkuu kufanyika ndani ya miezi 6. Wameweka marufuku ya kusafiri kwa Wanajeshi hao pamoja na ndugu zao, wakisisitiza Rais Alpha Conde kuachiwa mara...
  12. Guinea: Jeshi kuanza kufungua Mipaka

    Jeshi Nchini Guinea limetangaza mchakato wa kufungua taratibu Mipaka na Nchi jirani ambayo baadhi ilifungwa baada ya Rais Alpha Conde kupinduliwa na mingine ilikuwa imefungwa miezi kabla Kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020, Rais Conde aliamuru Mipaka ya Senegal, Sierra Leone na Guinea-Bissau...
  13. President Museveni: Guinea coup leaders 'should get out'

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa viongozi wa mapinduzi nchini Guinea ''kuondoka'', akisema kuwa mapinduzi hayo ni ''hatua za kurudi nyuma''. ''Wanapaswa kuambiwa waondoke kwasababu wao si suluhisho la nchi,'' Bw. Museveni aliiambia France 24. ''Tulikuwa nayo mapinduzi miaka ya...
  14. L

    Kwanini hakuna kauli kali kwenye kulaani mapinduzi yaliyotokea nchini Guinea?

    Katika miongo miwili iliyopita kulikuwa na mwelekeo mzuri sana katika nchi za Afrika, kwenye kufuata utaratibu wa katiba hasa linapokuja suala la kubadilisha madaraka. Utaratibu huu ulikuwa na lengo la kuhakikisha kubadilisha viongozi hakuwa chanzo cha kuleta vurugu na mapigano, ambayo hatimaye...
  15. Siyatambui mapinduzi Guinea, Rais Conde namtambua kama Rais bado waliomteka nyara wamrudishe upesi

    Bunge la Guinea kwa Vikao vyake halali kabisa lilijiongezea posho na kupitisha kuwa Raisi aliyepo Raisi aliyepo ruksa kugombea tena Kikosi kimoja cha makomandoo bila kushirikisha vikosi vingine vya jeshi wakaenda kumteka Raisi Condé na kumficha wanakojua wao. Mimi bado namtambua Rais Conde...
  16. Kiongozi wa Mapinduzi ya Guinea Colonel Mamady Doumbouya aifuta katiba iliyokuwepo

    Amesema katiba iliyokuwepo haikuwa chaguo la wananchi na ilikuwa kandamizi , ameifutilia mbali huku akiandaa mipango ya kuanzisha mchakato wa Katiba ya wananchi itakayokidhi matakwa ya wananchi Askari huyo Mkakamavu na ambaye alikuwa MBEBA MWAMVULI wa Dikteta Alpha Conde kabla hajapinduliwa...
  17. H

    Rais wa Guinea, Alpha Conde apinduliwa na Jeshi

    Nimeona sehemu wanasema rais wa Guinea amepinduliwa na wanajeshi waasi na anapelekwa kwenye mahakama ya kijeshi === GUINEA: WANAJESHI WAMPINDUA RAIS Wanajeshi wamefunga mipaka ya Guinea na kufunga anga baada ya kufanya mapinduzi na kutangaza kutoitambua Katiba iliyorekebisha na Rais Alpha...
  18. #COVID19 Guinea: Watumishi wa Umma watakiwa kuwa cheti cha kupata chanjo ya COVID-19

    Watumishi wote wa Umma Nchini humo watatakiwa kuonesha ushahidi kuwa wamepata chanjo dhidi ya COVID19 kabla ya kuruhusiwa katika maeneo yao ya kazi Rais Alpha Condé ametoa maelekezo kwa Waziri Mkuu kuhakikisha Mawaziri wote pamoja na Watumishi wengine Serikalini wanapata Cheti ili kuruhusiwa...
  19. Guinea yaripoti kisa cha kwanza cha Ugonjwa wa Marburg

    Wataalamu wa Afya Nchini humo wamethibitisha kisa cha kwanza cha Marburg katika Ukanda wa Afrika Magharibi. Ugonjwa huo umetajwa kuwa jamii moja na Virusi vya Ebola. Mgonjwa aliyekutwa nao amefariki dunia. Imeelezwa, Ugonjwa huo unasambaa kwa binadamu kupitia majimaji. Jitihada za kutafuta watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…