Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema mwaka huu wanawake wameitika kwa kushiriki katika makongamano ya wanawake yaliyofanyika sehemu mbalimbali nchini.
“Hii inaonesha kuwa wanawake wameitika… hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea...
"Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima
anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu anazijua na najua watoto wangu wapo wapi.
Mume wangu kaona vipaji vyangu na mimi nimeona vyake...
Hellow Tanganyika!!
Vita ya kiuchumi imepamba moto, hivi sasa unakula embe ,chungwa, papai linalochukua miezi chini ya SITA tu, linakuwa tayari Kwa chakula, Cha kushangaza hakuna mbegu ndani ya tunda Hilo.
Mahindi vile vile, tunaletewa mahindi ya mbegu ambayo huwezi kuyaotesha baada ya kuvuna...
Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote .
Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa.
Ila...
Mbunge wa Jimbo la Kawe Dar es Salaam, Askofu Josephat Gwajima amehoji serikali imejipangaje pale itakapopokea tiba ya ‘CRISPR Cas 9 Gene Editing’ kwa ajili ya matibabu ya ugonjwa wa seli mundu (sickle cell), kuhakikisha kwamba mtu atakapoingia kwenye chumba cha tiba hahaririwi vitu vingine kwa...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dk Dorothy Gwajima ametoa pole kwa wazazi wa mtoto Graison Kanyenye aliyeuawa na watu wasiojulikana, huku akiwataka wazazi au walezi kuimarisha ulinzi na usalama wa watoto.
Tukio hilo lilitokea Ilazo Extension jijini Dodoma...
Kuna clip nimeiona facebook, gwajiboy ametembelea wananchi, ikatokea mwananchi mmoja wanasema alilalamika kwamba nyumba yake imeuzwa.
1. Alimpangisha muuza bucha
2. umeme ukakatika, nyama za bucha la mpangaji zikaharibika
3. mwenye bucha akasema mwenye nyumba amlipe nyama hizo 4m
4. wamevutana...
Kwanza nikiri, Mimi sio muumini wa wale wanaochagua viongozi based on sex .
Mimi ni Pro- Qualifications.
Hakuna asiyejua Uwezo wa Waziri huyu, Muwazi, Mchapa kazi, Mwenye maono, anayechukia Rushwa , Anayejiamini , Msafi asiyekuwa na Mawaa.
Huyu Mama kama angeendelea kuwa Wizara ya Afya...
Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late).
Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani nikajitokea mdogo mdogo nikawa nawaaga wajasiria Mali waliokuwa wakiuza leso na maji pale getini...
Kati mwezi Mei na August 2024 Mbunge wa jimbo la Kawe Josephat Gwajima alipita kwenye matawi na mashina ya CCM katika jimbo la Kawe.
Alifanya mikutano ya kuhamaasisha uchangiaji wa ukarabati wa barabara zilizoharibiwa na mvua za Elnino. Aliahidi kuwa tukifungua akaunti ya pamoja katika kila...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum Dkt. Gwajima D ametangaza kumchukulia hatua za kisheria Masha Love na wanaochochea kuharibu maadili
Waziri ameandika; "Kwani huyu mashalove ambaye kila siku mnamtaja taja humu link yake Iko wapi tuone yaliyomo? Maana Kila...
Waziri Dkt. Gwajima D salam,
Moja ya tukio kubwa wiki hii ni suala la wanafunzi zaidi 100 kukutwa na simu shuleni na baadhi yao kufukuzwa baada ya kupiga picha za utupu na picha hizo kusambaa.
Katika kushughulika na suala hili busara inahitajika zaidi kuliko kukurupuka. Kwanza tuelewe hawa na...
“Nilimkuta binti yangu chumbani kwa mpangaji mwenzangu, mbaya zaidi baada ya upekuzi yule mpangaji kumbe alishamnunulia simu binti yangu, na akampa ufunguo wa chumba ili muda wote akimtaka aweze kuingia kwa ajili ya kufanya mapenzi wakati yeye bado ni mwanafunzi.”
Ni sehemu ya simulizi ya...
Leo tarehe 11 Oktoba, 2024 mimi na mume wangu Advocate Gwajima na watoto wetu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, tumefika kituo cha Serikali ya Mtaa wetu wa Salasala, Kata ya Wazo kujiandikisha na kuboresha taarifa zetu kwenye daftari la mpiga kura wa serikali za mitaa kama maandalizi...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalumu, Dorothy Gwajima akizungumza mara baada ya kupewa tuzo na JamiiForums kwa kuwa kiongozi anayepokea maoni ya Wananchi na kuyafanyia kazi amesema kuwa majukwaa ya Kidigitali yanasaidia kuongeza uwajibikaji sambamba na kuisongeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.