gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Watu makini kama mbunge wa Kawe Josephat Gwajima wamekaa kimya juu ya uharamu unaotendwa na serikali kwa wananchi. Hii maana yake nini?

    Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa? Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi. Inatia ukakasi sana.
  2. Analogia Malenga

    #COVID19 Dkt. Gwajima: Msimamo wangu kuhusu Corona haujabadilika

    Waziri wa afya wa Tanzania Dorothy Gwajima amesema kwamba msimamo wake kuhusu janga la corona haujawahi kubadilika. Hii ni baada ya waziri huyo kupokea shutuma hasa mitandaoni kwamba awali katika utawala uliopita alikuwa na msimamo tofauti na wa sasa kuhusu hatari ya virusi hivyo na sasa...
  3. B

    #COVID19 Waziri Gwajima: Kanda ya Ziwa, Kilimanjaro kumeathirika zaidi na Corona

    Kwa mujibu wa Dkt. Gwajima, huku kumeathirika zaidi: “Maeneo ya kanda ya ziwa pamoja na Kilimanjaro yameathirika kwa kiasi kikubwa na ugonjwa huo, na ilihitajika mitungi ya ziada kutokana na eneo la kanda ya ziwa kuathirika zaidi na ugonjwa huo,” alisema Gwajima." Mwenye masikio na asikie...
  4. Suley2019

    VIDEO: Dkt. Doroth Gwajima aupiga mwingi Wasafi FM leo, amfunika Kitenge

  5. Suley2019

    #COVID19 Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  6. M

    Je, kuna Mkazi yeyote yule wa Jimbo la Kawe aliyeanza kuzishuhudia ahadi lukuki za maendeleo za Mbunge Askofu Gwajima?

    Nikiwa kama Mmoja wa Wavuvi wa Ununio nimeshaandaa Siku nyingi sana Picha zangu 4 za Passport kwa ajili ya Pasi ya Kusafiria ili anikatie VIZA na Mbunge Askofu Gwajima atupeleke nchini Marekani kama alivyotuahidi na kutuhakikishia pia. Askofu Gwajima USA unatupeleka lini?
  7. J

    Askofu Gwajima: Ukiwa uchumi wa kati unapoteza fursa nyingi za upendeleo hivyo ni rahisi sana kurudi kwenye uchumi wa chini

    Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima amesema watanzania wengi hawaelewi athari za nchi kuwa uchumi wa kati. Ni kwamba unapoingia katika kundi la uchumi wa kati zile fursa zote ulizokuwa unapata kama nchi maskini zinatoweka na usipokaza buti ni rahisi sana kurudi kwenye uchumi wa chini. Chanzo: TBC...
  8. Ileje

    Askofu Gwajima apigwa kombora Bungeni na Mbunge wa Mtambwe, Khalifa Issa

    Aitaka serikali kuongea na manabii wanaodai kufufua wafu ili wafufue wapendwa wetu? === Mbunge wa Mtambwe (ACT-Wazalendo), Khalifa Mohamed Issa amehoji "Serikali haioni wakati umefika kukaa na manabii wanaodai kufufua waliokufa, ili kuweza kuwafufua wapendwa wetu." N/Waziri Mambo ya Ndani...
  9. kudamademede

    Askofu Gwajima: Mbunge smart kuwahi kutokea katika Bunge la Tanzania

    Salamu za Askofu Gwajima wa Jimbo la Kawe kwa Mh.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli alipoteuliwa na Mh.Spika kusalimia kwa niaba ya Wabunge wenzake, leo Bungeni Dodoma. Mheshimiwa Spika, ninaomba nikushukuru sana kwa kunipa fursa hii ya kusema maneno machache kwa...
  10. M

    #COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

    Nimeamua kuandika ili wananchi tujue ya kuwa hata baadhi ya watunga sheria na pia ni viongozi wa dini hawajui kinachoendelea duniani. Huyu Mbunge (Askofu )wa jimbo la Kawe ETI anaona chanjo vaccine ya corona ni upuuzi.Labda hana kitu kinachoitwa BRAIN ana maji kichwani. Dunia nzima inagombania...
  11. MPUNGA MMOJA

    Waziri Gwajima: Marufuku kuwauzia kadi za kliniki kina mama wajawazito

    Waziri wa Afya Dkt Gwajima amepiga marufuku kina Mama Wajawazito, hakuna utaratibu huo. Awali kadi zilikua zikiuzwa sh 5000/= mpka 20,000/= na baadhi ya vituo vya kliniki ilifika sh 50,000/=.
  12. Course Coordinator

    Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima ataka Masheikh wa Uamsho waachiwe na Sheria za uhujumu uchumi zirekebishwe

    Mimi siongezi neno hapa Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe Marekebisho kwani kuna Maelfu ya watu Wamebambikiwa kesi hizo mpaka sasa Wanasota Mahabusu bila kujua hatma...
Back
Top Bottom