gym

  1. Kwanini mabaunsa wengi ndiyo wamekuwa mashoga?

    Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndiyo hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili. Hali hii sina uhakika, ila nadhani inachochewa na madawa wanayomeza vijana kwa ajili ya kututumua misuli. Huenda hizo food supplements zina...
  2. Kama una Mtaji Njoo ufungue Gym Mkata Wilaya ya Handeni

    Wasalam mabibi na mababu, Kama mnavvojua wilaya ya handeni - Mkata kwa sasa ni sehemu inayokuwa kwa kasi sana. Kuwepo kwa Ofisi za Halmashauri Mkata, Hospital kubwa ya wilaya, Lakini yote kwa yote ni mji uliokuwa na muingiliano na watu tofauti tofauti kama vile watumishi wa umma, wafanya...
  3. Aggrey TZ ndani ya gym -video

    Mwamba kaanza upya. Atakua sawa insha'Allah
  4. ME NI TRAINER NAITAJ MTU MTU WA KUWEKEZA KATKA GYM ME NIWE TREINER WAKE

    NAITWA GERALD NAPATKANA TABATA, NA NI TRAINER WA AEROBICS , YOGA NA WORKOUT KIUJUMLA NAJAMA UKIWA UNAITAJ ANZA IYO BIASHARA NA HUJUI PAKUANZIA ME NIPO TUTAFANYA BEGA KWA BEGA MBAKA ITAPOFANIKIWA NITAANZA KUTRAINER.+255788317776
  5. Jamiiforums GYM (mazoezi ) thread

    Wakuu mambo vipi....Binafsi sio mkufunzi(gym trainer) ila napenda sana mazoezi na ninayajua mazoezi kuliko hata hawa wanaojiita ma-trainer,nimeanza kupenda mzoezi ya gym nikiwa form 3 (2013) so unaweza kuona nina experience ya miaka 11. Mazoezi pia yanaambatana na aina ya vyakula tunavyokula...
  6. M

    INAUZWA Exercise bike / baiskeli ya mazoezi inauzwa laki 2. Wapenda gym na wenye wazee wa mazoez karibuni

    Habari. Nauza baiskeli ya mazoez. Baiskeli ni used sio brand new. Haina tatizo lolote Bei laki 2 tu. ( fixed price)
  7. Naona noma kwenda gym na kamwili kangu kembamba

    Habari Muda mrefu nimekuwa nikitamani kuanza mazoezi ya mwili gym, lakini mara zote huwa napatwa na hofu kuwa pale gym mimi pekee yangu ndio nitakuwa kimbaumbau Wale watu wa gym mliwezaje kuanza mkiwa na mili yenu membamba mimi naona noma wakuu.
  8. K

    Wanawake Wanaoenda Gym na Wako Single

    In most cases, hawa watu huwa wananyege sana. Kwenda gym kwa ajili yakujikinga kupata hiyo kitu ni kama kuongeza petrol kwenye moto. Hii sijui kitaalamu imekaaje....
  9. M

    Wake zenu wakienda gym kuweni makini, angalieni huyu

    Gym trainers siyo poa yaani. Soma hapa tena Thread 'JAMANI WAKE ZENU WASIENDE KAJA TANZANIA. πŸ˜‚πŸ˜‚' JAMANI WAKE ZENU WASIENDE KAJA TANZANIA. πŸ˜‚πŸ˜‚
  10. VIDEO: Watu wa Gym haya ni mazoezi gani na yanasaidia nini?

    Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
  11. Anaejua chimbo la gym tiles zile za kupanga anipe mchoro

    Guys nimewekeza katika gym nataka kuifanya ya kisasa, natafuta sehemu wanauza bidhaa tajwa hapo juu.
  12. Wapi kuna Gym maeneo ya Mbezi Mwisho, Malamba mpaka Kinyerezi

    Wandugu kwema, Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona. Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
  13. Siku ya Kwanza kwenda Gym. Gym yataka Moyo!

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli " Yep! Yap! Yep! Yap! Swapswapswap! Yep!yep! Yap! Yep! Yep! Yep!yep! Kiuno! Up! Dancedancedance! Magoti Tap! Jumpjumpjump! Bend down! Downdowndown!" Mwalimu anarudiarudia kuimba kipande hicho akisaidiwa na mdundo WA muziki mkubwa, kifuani kwake kulichomekwa...
  14. Ni sehemu gani sasa hapa Dar ni nzuri kufanya gym?

    Ni sehemu gani kwa Dar mimi ni mgeni hapa Dar nina mwezi mmoja tu ni sehemu gani sasa hapa Dar ni mzuri kufanya gym na bei cheap ila iwe classic isiwe uswahilini
  15. Ndalichako ashauri Maboss kuwawekekea Gym wafanyakazi makazini

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Profesa Joyce Ndalichako amewagiza waajiri kuweka mifumo kwa wafanyakazi wao ya kuwewezesha kufanya mazoezi ikiwemo β€˜gym’ ili kuwa na wafanyakazi wenye afya njema. Waziri huyo amesema moja ya sababu ya kutaka gym ziwepo...
  16. Gym inamaliza nguvu za kiume?

    Habari wakuu? Msaada wenu, kwa wale mnaobeba vyuma/gym, je! Nikweli inamaliza nguvu za kiume? Ama kuleta madhara yoyote sehemu husika?? Natumaini mtanipa jibu zuri wakuu, mubarikiwe sana. Weekend njema bandugu!
  17. Kwa hii mibinuko wake zetu watapona kweli kwenye hizo gym?

    Kwa namna hii wake zetu watakuwa wanaliwa sana. Nini kifanyike, maana imeshakuwa ni tatizo kubwa mno, mwanaume unamruhusuje mke wako akabinuke hivyo, eti mazoezi?
  18. M

    Mwanasaikolojia: Wanaume wanaopenda kwenda Gym ndiyo Wanaongoza kusalitiwa na Kupungukiwa nguvu za Kiume

    "Wanaume wenye kupenda kufanya tu Mazoezi ya Kutembea Umbali mrefu au Kukimbia umbali wa Kiasi ndiyo Wanaoongoza kwa Kuwaridhisha zaidi Wapenzi wao Vitandani tofauti na wale wapenda kwenda na Kukesha gym", alisema Mwanasaikolojia. Siku zote Mightier nimekuwa nikiwapinga mno hawa Wanasaikolojia...
  19. #COVID19 Marekani: Wasiochanjwa kutoruhusiwa kuingia Gym na kwenye migahawa

    Meya wa Jijini New York, Bill de Blasio ametangaza zuio la kuingia sehemu za mazoezi na migahawa. Amesema wasiochanjwa hawataweza kushiriki katika shughuli nyingi. Sera hii itaanza kufanya kazi wiki chache zijazo. ====== New York(CNN)New York City will require proof of vaccination to enter...
  20. M

    These are the Outfits that are too Cute for the Gym. See amazing pictures

    It is important to keep fit especially at this time of the pandemic. The stress levels are high and many people are on the brink of depression. The pandemic has worsened the financial resources of many people. The biggest mistake people make is to dwell on their problems instead of trying to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…