gym

  1. Miss Zomboko

    Sweden yapiga marufuku mikusanyiko yenye watu zaidi ya 8. Wananchi watakiwa kuacha kufanya sherehe na kwenda Gym

    The Swedish government on Monday moved to cut the size of public gatherings sharply as it sought to come to grips with a second wave of the pandemic that has seen record daily numbers of new cases and growing pressure on hospitals. Swedes are not sticking to coronavirus recommendations as well...
  2. The Mongolian Savage

    Nimesitisha kwenda gym na sitaki tena six packs

    Mzuka wanajamvi! Yani tunaenda gym kila siku mara tano kwa wiki. Kujiweka fit kuwavutia akina dada. Lakini mibongo mengine imeshabughia na kushindilia viporo vya kande iliyochacha na kuvimbiwa mitumbo wanaanza kutuita wenye mwili wa mazoezi eti mashoga. Hii chisel shape body yangu na six packs...
  3. BLUE BALAA

    Sisemi ni wote ila wanawake wengi wakiwa wanakwenda gym ataishia kupata mchepuko

    Sisemi ni wote ila wanawake wengi wakiwa wanakwenda gym ataishia kupata mchepuko au hata wale instructors watakula mzigo. Mimi ninayo experience hivyo siyo wadada mje hapa useme siyo wote mi nishasema siyo wote. Nataka ku prove my experince kwa mtu ambae amesha experience.
  4. C

    Mazoezi ya Ndani: Zoezi la kuruka kamba

    Tangu nilipogundua umuhimu wa mazoezi kwenye mwendo wa kawaida wa maisha, nimejaribu hili na lile, kuona linalonifaa zaidi. Katika jaribujaribu mara kwa mara nimeongeza vikolezo mbalimbali kwenye mazoezi yangu na kuyaboresha kidogo. Nimeongeza vikolezo hivyo kwa malengo ambayo binafsi nayaona...
  5. L

    Vifaa vya mazoezi (gym) vinauzwa

    Vifaa vifuatavyo vya mazoezi vinauzwa: Everlast Solitude Treadmill – TZS 2,400,000.00 Trojan Stamina Treadmill – TZS 1,152,000.00 Trojan Pace Exercise Bike – TZS 640,000.00 Vinapatikana Oysterbay, Dar es Salaam
Back
Top Bottom