Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao.
Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo"
Nilimuimba kidogo sana, asee...