VIASHIRIA KUWA HUENDA SIMU YAKO IMEDUKULIWA
Simu yako kufanya kazi tofauti na ulivyoitaka au ambazo hujaidhinisha kama kutuma Ujumbe, kupiga simu
Uwepo wa Programu Wezeshi (Applications) ambazo hujaziweka wewe na hazikuja na simu hiyo kutoka kwa Watengenezaji
Chaji kuisha haraka kuliko...