Sisi tukiwa kama walipa kodi, tunapaswa kujua gharama za mazungumzo na jinsi kila upande ulivyochangia pamoja na gharama iliyotumika kugharamia kamati 2 za Rais kuhusu makinikia.
Ni hayo tu.
Alafu najiuliza sijui tutaruhusu makinikia ya matrilioni kama tulivyoambiwa na ile kamati ya kwanza ya...