Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.
Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa...
Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.
Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na...
Nchi hii, ili ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma upungue kwa kiasi kikubwa(najua hauwezi kwisha), yoyote ataepatikana na hatia ya ubadhirifu, wizi na ufisadi wa mali ya umma, anyongwe hadharani mpaka kufa.
Tukiwaonea huruma, tunawaacha wanafia jela, ila sheria itamke wazi adhabu yao ni...
Sijawahi kuona taifa kama Usa au United Kingdom wakionyesha zana na siraha zao za kivita hadharani.
Nashangaa sana kwa nchi za Africa na taifa letu kuonyesha zana za kivita hadharani.
Je, huku sio kuweka hadharani taarifa na siri za kijeshi za taifa letu na kuwapa mwanya maadui wetu?
Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa.
Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na kumbebesha lawama zote za udhaifu ama inefficiency ya serikali ya awamu ya sita kwamba ilisababishwa na...
Nilikuwa nataka kufatilia zaidi ila huyo mtu aliekuwa anajua hizi ishu na kufanikiwa kuvusha ng'ambo ndugu zake kadhaa aligeuka kunikatisha tamaa wazi wazi, ndipo nilipojua hii kitu wachache waaifanya iwe siri ili watu wao wa karibu pekee ndio wasome nje kirahisi kwa kuhofia ushindani wakijua...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa dini kutoa elimu kwa waumini juu ya umuhimu wa kupata chanjo ya uviko – 19 pamoja na kushiriki katika sensa inayotarajiwa kuanza mwaka 2022.
“Niwaombe viongozi wa dini kujumuisha masuala ya sensa kwenye mahubiri yenu, kawaida serikali ikitoa...
Ni muhimu na ni haki kwa kila anayechanjwa kuwa na kadi maalumu inayotambulika na kumthibitisha kuwa amchanjwa.
Unashauriwa kuitunza na kuihifadhi kadi hiyo kwa sababu inakuwa na taarifa zako muhimu na za siri kama vile majina yako kamili, tarehe yako ya kuzaliwa na eneo ambalo alipatiwa...
Kila siku wewe ni kujifanya kutoa amri na ultimatum kwenye media,wewe kikaragosi ni wa kutoa amri kwa Simba au MO? kila siku ukihojiwa kazi yako kudanganya ulisoma Mass Comm South Africa na Advanced Diploma ya siasa China.
I CHALLENGE you toa vyeti hadharani tuone AU TAJA MAJINA YA VYUO NA...
Kama mkuu wa polisi anakiri hadharani kuwa jeshi analolisimamia linatumia nguvu ya ziada basi ni wazi kuwa jeshi analosimamia huwa linafanya kazi kinyume cha sheria.
Ni nguvu gani ya ziada inayotumika? Kupiga watu walio mahabusu ya polisi? Kutesa mahabusu wa polisi?
Hii ni kinyume na katiba ya...
Wakati kwenye maeneo mengine kubusu au kukumbatiana kati ya mwanamke na mwanaume ni jambo la kawaida, kwenye maeneo mengine ni kosa kubwa.
Baadhi ya nchi za kimagharibi zimewapa raia wake uhuru kiasi cha kuweza hata kufanya matendo ya faragha hadharani. Lakini baadi ya nchi, hasa zile zenye...
Kama kusema kuwa wabunge hawalipi kodi ndio sababu ya wewe kuitwa kwenye Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, nakushauri uweke hadharani salary slip yako kabla ya kufika mbele ya kamati ili umma ujue ukweli halisi ni upi.
Unaweza kuficha taarifa ambazo sio sahihi kwenda kwenye public...
Wanabodi,
Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita
Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...
Biden kutoa dola 100 kwa kila atakapigwa chanjo ya COVID-19
100x2399= 239,900
hii ni kweli?
====
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kila mwananchi atakaekubali kupigwa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 atalipwa dola 100. Marekani ni nchi yenye chanjo za kutosha, na idadi kubwa ya watu...
Huyu naye ni wa hapa hapa Sinza kwa Remi, ana bastola lakini ana akili kama za yule aliyeua, msijesema hatukuwaambia, enyi polisi, huyu hutoa silaha hadharani na kutishia.
Mh Freeman Mbowe amesambaza video mitandaoni ikimuonyesha akiweka wazi kabisa ugonjwa uliomuua kaka yake Charles Mbowe, kuwa ni COVID 19, huu ndio uongozi wa kupigiwa mfano, Mh Mbowe ameamua kuweka wazi jambo hili ili kuweka ushuhuda wa uwepo wa Corona nchini Tanzania.
Mbowe sasa rasmi ni...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia ameitaka serikali kutaja hadharani majina ya waliofisadi mabilioni ya fedha za benki kuu yaliyotajwa katika ripoti ya CAG.
Mbatia amesema kuwasimamisha maofisa wachache wa wizara ya fedha waliogawana fedha hizo kama posho haitoshi, wale ni dagaa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.