hadharani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    Maua Sama ajitokeza hadharani kuongeza matiti Mloganzila

    Baada ya mashabiki kumsakama kwa muda mrefu kuhusu muonekano wake na sura kiujumla, mwanamuziki kutoka Tanzania House Of Talent (THT) Maua Sama aonesha niya yake ya dhati kuhusu kubadili muonekano wake. Hii si mara ya kwanza kwa Maua kutaka kubadili muonekano wake ila inaonesha kilichokuwa...
  2. Erythrocyte

    Mbowe: Rais Samia haaminiki, aweke hadharani mkataba wa bandari ili tuuone

    Akihutubia Maelfu ya Wananchi huko Nkasi kwenye ile Oparesheni Kabambe inayoitwa Oparesheni 255 okoa Bandari zetu, Mwenyekiti wa Chadema, Feeman Mbowe, amesema Rais Samia haaminiki na ili tuamini kile kilichosainiwa jana alichodai ni mkataba wa bandari na DP WORLD ya Dubai basi mkataba huo...
  3. Kididimo

    Uzembe nchi hii utaisha kwa mzembe kuhukumiwa kwa kupigwa risasi hadharani

    Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:- 1. Gesi asilia ya kutosha 2. Makaa ya mawe ya kutosha 3. Mwanga wa jua wa kutosha 4. Nk nk Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
  4. B

    CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

    Huu ni ushauri wa bure kwenu kama mdau. Niliwahi kuandika uzi huu pia: Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya yaliwekwa wazi: Kulikoni kuwaendekeza watu hawa ambao kwa sasa wanapigania utengano, badala ya...
  5. BARD AI

    Zambia: Edgar Lungu apigwa marufuku kufanya mazoezi hadharani akidaiwa kuendesha Kampeni

    Jeshi la Polisi limemuonya Edgar Lungu kutokana na utaratibu wake wa kufanya matamasha ya Mazoezi hadharani huku likieleza kuwa Kiongozi huyo amekuwa akitumia matamasha hayo kuendesha ajenda za Kisiasa. Taarifa ya Polisi imesema Lungu amekuwa akiambatana na wajumbe wa Chama chake cha Patriotic...
  6. Pang Fung Mi

    Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu amwaga chozi hadharani akiwa kwenye ziara ya kukagua changamoto za shule hasa vyoo na madarasa

    Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa. Video ipo kwenye comments (Manjagata ameiweka) Hii ni taarifa halisi isipokuwa kwa kuwa sina video ndio mana sijaweka katika uhakika wake...
  7. GENTAMYCINE

    Nimeshapata tayari Kinujumu (Kiutabiri) Matokeo ya Kesho Kigali na Ndola je, mna Mioyo na Vifua niyaweke hadharani?

    GENTAMYCINE nasubiria majibu yenu ila najua kuna Watu Watalia na hawatoamini kwa Matokeo ya Kesho. Je, mpo tayari niyaweke Hadharani?
  8. The Burning Spear

    Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

    Rais Samia kashafanya mambo mengi sana tena mengi mno. Lakini hili la kukashifu katiba ya nchi is beyond the red line. Katiba ndiyo kitabu chetu kitakatifu kwa watanzania amabacho kinatuunganisha wote... Ile Dhihaka haivumiliki hata kidogo ni dharau iliyopita kiwango kwa katiba yetu, Kama...
  9. Mayor Quimby

    Mwanamke anatangaza mapenzi yake hadharani; wewe nani kusema hadharani unampenda zaidi?

    It’s a culture issue (watanzania tuna matatizo), kusema unampenda mwanamke wa mwenzako nchi za wenzetu it’s a very disrespectful situation. Ni kwa sababu tunaishi Tanzania tu; nchi nyingine utaumizwa. Halafu kuna watu wanasifia ujinga wa Harmonize; huwezi kumuimbia mapenzi mchumba wa mtu...
  10. Ileje

    Kuna haja Police General Orders (PGO) ziwekwe hadharani kwa matumizi ya umma

    Mara nyingi watu hufanyiwa vitendo vya hovyo, udhalilishaji na kunyimwa haki zao za kisheria na kikatiba na polisi wetu kwa kukosa uelewa wa PGO. Hali hii hufanyika kwa makusudi na polisi ama kwa polisi kusahau au kutokuifahamu PGO. Kwa wananchi kuifahamu vizuri PGO watakuwa katika nafasi nzuri...
  11. JanguKamaJangu

    England: Kimenuka, baada ya kuwekwa benchi, Jadon Sancho amjia juu kocha wake hadharani

    Winga Jadon Sancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Manchester United kwa sababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erik ten Hag alivyodai bali hivyo ni visingizio dhidi yake. Kabla ya kupoteza kwa magoli 3-1 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema...
  12. S

    Watanzania tulihuzunika na Nape alipotolewa bastola hadharani lakini hivi sasa anatulipa jeuri na kiburi?

    Kwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake. Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo...
  13. Dr Matola PhD

    Confirmed: Waraka wa Baraza la Maaskofu Wakatoliki(TEC) wasomwa hadharani kwa waumini wote kwa makanisa yote RC Tanzania nzima

    Niko hapa kuthibitisha hilo pasi na chembe ya shaka yoyote leo nimehudhuria ibada ya misa takatifu katika kanisa la St Joseph Cathedral Dar. Waraka umesomwa kwa waumini wote, na kupitia reliable source ya Jesuits agent amenithibitishia makanisa yote na vigango vyote vya kanisa katoliki Tanzania...
  14. GoldDhahabu

    Watu kuoga hadharani ni utamaduni au imani ya kishirikina?

    Sijui kama na mikoa mingine ina watu wa wenye ujasiri huo!. Nimeshaona hayo zaidi ya mara moja Kanda ya Ziwa. Wakati fulani, nilikuwa nikienda sehemu fulani jijini Mwanza kwa gari la taasisi fulani. Hilo gari lilikuwa na watu wazima pamoja na wanafunzi wa shule fulani ya huko huko jijini...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mzungu akisaidiwa, humtaja aliyemsaidia na kumshukuru hadharani. Mswahili huishia kusema Mungu umenisaidia

    Najiuliza hivi kwanini mtu akiwa shidani, wa ngozi nyeupe, ukimkwamua shidani mwake, atakushukuru sana na hatoona aibu kusema hadharani, fulani kanisaidia. Lakini sasa sisi kina Mtokambali, ukisaidia na fulani, humtaji, hata ukiulizwa ile shida yako umeitatuaje? Unaishia kusema ni Mungu...
  16. JF Member

    Akisimama 2025; Narudisha kadi ya CCM hadharani

    Niwahakikishie tu kutoka huko jikoni ndani kabisa. 2025 anaachia ngazi, washauri wameshamusihi iwe hivyo; Baadhi ya wanufaika na uwepo wake wanamtaka asiachie ngazi. Nami nasema; Akisimama tu narudisha kadi. Kwako Mwalimu KASHASHA - r.i.p
  17. A

    Natangaza haya hadharani: Nitapata ajira haraka baada ya kuhitimu Shahada ya Kwanza

    Kutokana na tatizo la ajira, vijana wengi wanaishi kwa msongo huko chuoni juu ya vipi wataishi baada ya masomo. Kwa akili zangu timamu, mimi kijana ninaesoma Shahada ya kwanza ya Ualimu, katika moja ya chuo hapa jijini Dar es Salaam, nina imani kuwa sitakaa mtaani muda mrefu nikisubiri ajira...
  18. Unasemeje

    Kitendo cha Mzee Stephen Wasira Kuvunja Sabato Hadharani: Je atapewa adhabu kwa mujibu wa kanuni za Kanisa?

    Kwa mujibu wa Kanuni za Kanisa la Waadventista Wasabato, yapo mambo 13 ambayo ikibainika bila shaka kuwa umeyafanya, adhabu yake ni KUFUTWA USHIRIKA au kupewa karipio ( inategemea na situation). Kitendo cha KUVUNJA SABATO ni miongoni mwa mambo hayo. Kanisa la Waadventista Wasabato linaamini...
  19. THE JAGGERS

    Nimemwagiwa maji hadharani

    Salamu zenu wana Jukwaa, Leo kwa mara ya kwanza katika pitapita zangu kwa nimemwagiwa maji machafu hadharani halafu ukicheki nimetupia pamba zangu za ukali kuwahi appointment na demu wangu, dah hapa nimeghairi niko zangu maghethoni nakula usingizi🛌🛌.
  20. Exile

    Majimbo ya Kano na Sokoto nchini Nigeria yapiga marufuku kusikiliza nyimbo za Davido hadharani

    Hii inakuja baada ya davido kutoa wimbo wake hivi karibuni wenye video yenye maudhui ya dini ya kiislam. Waislam wengi hawajapendezewa hasa kwenye majimbo yanayoongozwa kwa mfumo sharia bono na sokoto nchini naigeria, kuwa davido kaudhaurisha uislam kupitia wimbo huo. Hizi dini zingine...
Back
Top Bottom