hadithi

  1. Mtandao wa Mycelium (Uyoga): Kiumbe Kikubwa Zaidi Duniani na Hadithi ya Uhai Usioonekana

    Je, uhai lazima uwe na macho? Lazima utambe au uruke? Au unaweza kuwa kitu tulivu, kinachostawi gizani, kikienea polepole kwa mamia ya karne bila mtu yeyote kugundua? Katika simulizi ya ajabu ya maisha, kiumbe kikubwa zaidi duniani si nyangumi wa buluu anayetamba baharini, wala si mti wa miwata...
  2. Na je! Imekufikia hadithi ya Musa? (Alipotumwa Kwa Firauni)

    Habari zenu wana JF leo nimeona sio mbaya nikiwaletea hadithi fupi ya Mussa alivyo tumwa Kwa Firauni na Majibizano kati ya Mussa na Mungu wake juu ya mikakati ya kumkabili Firauni, Mungu hakumuacha Nabii wake Mussa hivi hivi alimpa miujiza Ili akakabiliane na mwamba Firauni, Shuka nayo sasa...
  3. Hii Ndiyo Hadithi ya Mjasiriamali Anayejivunia mafanikio makubwa Kutokana na Biashara ya Kuku

    Alianza na nyoya moja la kuku alilo-okota njiani wakati akitembea matembezi ya jioni, lakini leo hii ni mfalme wa ufugaji wa kuku, akisambaza bidhaa zake katika masoko ya kimataifa. 😂😂👆🏾 sijui huwa mnatuonaje,ningekuwa na mamlaka nngechunguza biashara zenu
  4. Kwa Nini Wanawake wengi hawawezi kushusha Vigezo Vyao Kwa Sababu Ya Mapenzi: Hadithi Ya Princess Mako na Ayako

    Katika historia ya kifalme ya Japan, hatua ya Princess Mako wa Akishino kuolewa na mwanaume wa kawaida, Kiyotaka Kaya, imekuwa tukio la kipekee na la ajabu sana. Kama hiyo haitoshi Princess Mako, ambaye ni mtoto wa kifalme wa Japan, alijitokeza mbele ya ulimwengu akijivunia uamuzi wake wa...
  5. S

    RIWAYA: THE REVENGE OF DERRICK (S 01)

    SIMULIZI:REVENGE OF DERRICK MTUNZI:WIZZY JOOH SEHEMU YA KWANZA(1)* "Walikuwa ni watu wema sana" "Ni kweli bamdogo lakini watu wabaya wamedhurumu nafsi za wazazi wangu na kwa ili bamdogo niahidi kuwa utawakamata hawa wauaji na utawafanya walipie kwa hili" "Nakuahidi Derrick nitawapata hawa...
  6. Kitabu cha kabendera ni hadithi za kufikirika na sio Facts, Serikali ipeleke Shitaka Mahakamani

    Hatimaye nimemaliza kusoma kitabu cha Erick! As a scientist, kuna CLAIM na TRUTH. Ili claim iwe truth, ni lazima iwe evidence based, that can be checked and verified by anyone beyond the resoanable doubt. KITABU cha Erick kimeainisha CLAIMS ambazo hazina data and no one can verify zaidi ya...
  7. Maisha ni hadithi

    Hapa kuna maana kubwa sana. "Maisha ni HADIDHI tu" Kila mtu anapokuja kwenye uso wa Dunia anakuja kitabu chake kikiwa kitupu yaani (empty) Mimi, Wewe na Yule tunaanza safari na kuandika HADITHI ya maisha yetu kila mtu kwa namna anavyoona inafaa ndipo historia inaanza mpaka tunapotoweka Duniani...
  8. J

    Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo

    Je Malaika ni Hadithi za Kale au Wapo Hadi Leo Malaika ni nani Neno la Mungu huwaeleza malaika kuwa roho wenye uwezo mwingi sana, na roho haionekani kwa macho ya binadamu (1Wafalme 22:21; Zaburi 34:7; 91:11). Biblia husema kwamba, “katika yeye (Yesu), vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na...
  9. Kila Mtoto Ana Hadithi: Athari za Malezi Katika Safari ya Maisha ya vijana

    Malezi ni msingi wa ukuaji wa vijana na yana athari kubwa katika utu na maamuzi yao wanapokua. Kila mzazi ana mtindo wake wa malezi, lakini kwa mujibu wa wanasaikolojia kama Diana Baumrind, kuna mitindo mikuu minne ya malezi: Mabavu (Authoritarian), Mwenye Upendo Kupindukia (Permissive), Mwenye...
  10. Hii ni hadithi ya Neema na Daudi, wawili waliokutana katika hali zisizotarajiwa na wakapitia changamoto nyingi katika safari yao ya mapenzi.

    Katika kijiji kidogo kilicho katikati ya milima yenye uoto wa kijani kibichi, aliishi msichana mdogo mwenye tabasamu la kuvutia aitwaye Neema. Alikuwa maarufu kijijini kwa ukarimu wake na moyo wake wa upendo. Neema alikuwa akifanya kazi kama mwalimu katika shule ya msingi ya kijiji, ambapo...
  11. Freelancing Tanzania: Hela Imekuwa Rahisi au Hizi ni Hadithi tu?

    Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na uwezo wa kufanya kazi popote – hata ukiwa nyumbani na kikombe cha chai! Lakini swali ni hili: Hela...
  12. Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika.

    Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika. Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la mwanadamu. Bara hili limekuwa makaazi ya falme nyingi na pia lililopoteza watu wake wengi kupitia biashara ya watumwa. Hapo zamani za Kale – Hadithi kuhusu Afrika Yaaminika bara la Afrika ndilo chimbuko la...
  13. Sikilizeni hii audio. Kisha nipeni ushauri. Je, nafaa kuwa muhadithiaji wa hadithi au simulizi?

    Ninaplan ya kuanza kujirecord nikisimulia hadithi au matukio. Hii audio hapa nilikuwa natest tu nione ninavyosikika. Nimeamua kushare na nyinyi mnichane nafaa ?? Niongeze nini??? Nipunguzie nini???? Note: NIMERECORD KWA SIMU, na EDITING ni simu pia.
  14. Kwanini tupo Duniani? Hadithi ya kutisha ukweli kuhusu Biblia

    Luka 8:17 - Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi Tuzungumzie huu ndio ukweli ambao hakuna mtu anayetaka kuuzungumza juu yake, vipi ikiwa binadamu hapo mwanzo wa dunia hakukusudiwa kuwa hapa hii dunia? Sasa kabla haujafikiria...
  15. E

    Hadithi DONDA la WIVU

    Leo tuna Hadith mpya DONDA LA WIVU 👇 LEO MCHANA. “Ni lazima niitishe kikao cha wazee wa Mila, ni lazima nipange siku moja maalumu kuwakomoa firauni hawa, wajinga na wapuuzi wanao yachezea maisha yangu ………… Nakwambieni Ally mpuuzi wewe nitakukomesha. Mwaka huu nitakukomoa ili uione...
  16. M

    Hadithi

    WAMEZIDI.(Wamekua too much) Mtunzi:Elaija-Elia. (Sms) +255744225388. KAMPANI. "Waziri Beni unahitaji KAMPANI huwezi kwenda pekee Ulaya." Secretary Rose aliongea kwa madaha mbele ya Ofisi ya Bosi wake Waziri Beni. Alimshawishi Waziri aungane na KAMPANI (wapambe) yake kwenda...
  17. Ubaya utakupa faida gani?

    Niwasalimu ndugu zangu hapa!! Nimejikuta najiwazisha kwa sauti nikaona ni kheri niandike huenda Kuna Mwingine naye amepitiwa na frecuency kama hizi akaweka umakini hapo. DHANA YA MATESO: Kila nikisoma hivi karibu habari mbali mbali nakutana na binadamu kufanyiana mambo yanayopelekea...
  18. R

    Hadithi ya mabara mawili

    Amina alikodolea macho skrini iliyopasuka ya simu yake ya mkononi, akijaribu kusoma ujumbe wa hivi karibuni kutoka kwa binamu yake, Lin, aliyeko ng'ambo ya dunia huko Shanghai. Jua lilipokuwa likizama juu ya barabara zenye vumbi za mji wake mdogo wa mtakuja, Amina alivuta pumzi kwa nguvu, vidole...
  19. Hadithi ya uumbaji inayotambuliwa na wajenzi huru

    HADITHI YA UUMBAJI YA UGNOSTIKI ➖Mojawapo ya mambo yaliyoweka ugnostiki tofauti na aina nyingine za Ukristo wa hivi karibuni ni kuhusiana na Hadithi yao ya kushangaza ya uumbaji ni tafsiri ya Hadithi ya uumbaji ya kitabu cha mwanzo ambayo kiukweli imeyageuza maandiko hayo ya Agano la kale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…