https://youtu.be/ZjF8cpKA9kA
Katika homilia yake ya kwanza kama Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la Tabora, Kardinali Rugambwa, amehusianisha hadithi ya wanawali kumi na utunzaji wa rasilimali za nchi katika namba yenye kufikirisha sana. Nitajaribu kueleza nilichoelewa kutokana na homilia yake...
Kuna mengi naweza kuyasahau kati ya yale niliyopata kuyasikia na kuyafanya katika utoto wangu, hasa katika kipindi nilipokuwa shule za awali, msingi na sekondari. Hata baadhi ya majina na sura za wale ambao nilitumia muda mwingi nikiwa nao katika kipindi hiki nimevisahau kabisa, na mara kadhaa...
Ni ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa tano, watumishi wa umma na sisi wa sekta binafsi sote tumejidamka zetu makazini kama kawa, si unajua tena… Mambo ya kuwajibika. Mambo yote yamekwenda sawa, ila tu kwa kutimiza wajibu wangu mwingine usio rasmi, nachelea kuwadokolea kidogo yaliyojiri. Ni stori...
HADITHI: KIFO CHA MWANDISHI
SEHEMU YA KWANZA
Mtunzi: More
Mawasiliano: 0756320219
Hadi nafika nusu ya safari yangu bado nilikuwa nikijiuliza kama uamuzi wa kuwa na safari hii ulikuwa sahihi. Kila mara nilikuwa nikijaribu kubashiri matokeo ya safari yangu lakini sikuona yaliyo bora mbele yangu...
NDOA YANGU INANITESA
Nilikuwa nikifanya kazi katika kampuni moja ya usafirishaji wa madini kutoka Tanzania kupeleka Bang kok nchini Thailand. Kampuni yetu ikiwa ya mtu binafsi na ilikuwa Mkoani Arusha. Mimi Sweedy Kachenje ndiye niliyekuwa idara ya usafirishaji, nikiwa afisa mauzo.
Katika maisha...
Habari za mchana,
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja. Mimi nilihitimu chuo kimoja maarufu hapa nchini mwaka 2015. Tangu mwaka 2015 nlikuwa naishia tu kupata viajira vya kubangaiza bangaiza. Sasa mwaka huu mwezi wa nne tarehe 3 niliota ndoto ambayo nlivyoamka nikaitafakari sana sikupata...
SIMULIZI FUPI, LOVE STORY
Kijana mmoja alitokea kumpenda sana dada mmoja ijapokuwa dada huyo alikuwa akimtolea nje mara kwa mara lakini kijana hakukata tamaa, akiendelea kurusha ndoano huku akiamini siku moja atafanikiwa.
Siku moja dada huyo akiwa yupo nyumbani aliamua kumpigia simu huyu kaka...
Hakuna mahali salama kwa mjukuu wa chini ya miaka miwili kulinganisha na kifuani kwa babu yake anapolala baada ya kuzidiwa na usingizi unaotokana na utamu wa hadithi ndefu. Huwa wajukuu wanasinzia upesi mno na mara nyingi hadithi haifiki hata nusu ya urefu wake, wao wakiwa wameshasinzia.
Mtoto...
Nuru ya uwajibikaji
Mara nyingi, nchi yetu ya Tanzania imejikuta ikisakamwa na changamoto nyingi za utawala bora na ukosefu wa uwajibikaji. Lakini katika kiza kirefu, nuru ya matumaini inang'aa. Hii ni hadithi ya mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ambayo yameleta mabadiliko makubwa...
HADITHI YA WANYAMA WA MSITU: JINSI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA ULIVYOSAIDIA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII YAO.
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Picha | Msitu wa kijani kibichi
Katika msitu wa kijani kibichi, wanyama mbalimbali walikuwa wakiishi kwa amani na utulivu. Hata hivyo, katika...
Na: Mwalimu Makoba
"NI hadithi kama hadithi za sungura na fisi. Haihusiani na tukio lolote halisi."
Sehemu ya Kwanza
Hapo zamani za kale watu kutoka mbali waliwavamia Wenyeji. Watu hawa waliwachukua na kuwauza kama anavyouzwa mbuzi mnadani. Ili kujihakikishia Wananchi hawafurukuti au...
Sehemu ya 1
JINA lake kamili aliiitwa Meddie Manyara. Hii ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyaga katika majengo ya Shule ya Sekondari ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Meddie alikuwa amehamia katika shule hiyo na kujiunga kidato cha nne akitokea Tabora alikokuwa akisoma katika Shule ya...
MAADILI YA UONGOZI: HADITHI YA SIMBA MFALME NA NYANI MJANJA
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Katika hadithi hii, nataka kufikisha ujumbe kuhusu maadili ya uongozi na jinsi yanavyoathiri jamii. Hadithi yangu inahusu simba, mfalme wa wanyama, na nyani, mshauri wake. Hadithi yangu inatokea katika hifadhi ya...
Chombezo : Mpangaji Sehemu Ya Kwanza (1)
15 Feb
IMEANDIKWA NA : FRANK MASAI
*****************
Naitwa Prince au Prince Mukuru kwa jina langu lote kwa ujumla. Baba yangu alikuwa ni mfanyakazi katika shirika la reli la Tanzania ila sasa hivi ni mfanya biashara za binafsi zinazo muingizia fedha...
Wakuu! Nimerudi mapema kuliko nilivyotarajia.
Hii ni kutokana na sababu kadhaa
Mosi, nilifanikiwa kupata device nyingine japo sio yenye vile viwango nilivyotaka lakini inaweza!
Pili , watu wengi wameonyesha upendo wa Hali ya juu kwangu! Kwa hivyo, nimekuwa nikipokeaa simu na jumbe nyingi na...
Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar.
Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
Karibuni Tena katika story hii
Kama kawaida ni mwanzo mpaka mwisho hakuna kuishia njiani
Kutoka "madam president" na ",kesi ya Mzee Mnyoka"
Ssa Leo tunaanza kisa kingine Cha Mpangaji
Mtunzi ni Mimi mwenyewe CK Allan
(0746 Mia mbili sitini na sita mia mbili sitini na Saba)
MPANGAJI 01...
“If to correct you must humiliate; you don't know how to teach.”
An old man meets a young man who asks:
“Do you remember me?” And the old man says no. Then the young man tells him he was his student, And the teacher asks: “What do you do, what do you do in life?” The young man answers:
“Well, I...
Waislamu wa Tanzania mnaomfuata Mufti Eid yenu ni lini.
Kesho ni Eid fitri
Saudi Arabia, UAE announce Eid al-Fitr will start on Friday
Amani Hamad, Al Arabiya English
Published: 20 April ,2023: 05:26 PM GSTUpdated: 20 April ,2023: 07:53 PM GST
The first day of Eid al-Fitr will begin on Friday...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.