UZI HUU NI MAALUM KWA AJIRI YA KUSOMA NA KUPATA RIWAYA ZA JOHN WISSE.
UKIHITAJI KITABU CHOCHOTE UTAKIPATA KWA KUULIZA HAPA NAWE UTAJIBIWA HARAKA NA KUPATA KILE UNAKIHITAJI.
Habari za leo rafiki naitwa Jumanne Mwita,
Leo ni tarehe 06/06/2022 Kila ifikapo siku yangu ya kuzaliwa, huwa naandika moja ya makala kwa ajili yangu, kwa sasa nimetimiza miaka kadhaa ambayo kwangu mimi ni miaka mingi kidogo sihaba hapa nilipofikia pia namshukuru Mungu niko hai bado.
Miaka hii...
Vibonge ziii!
Hawa vibonge kisa vibration na miujazo wanajibutua huko road ila wakiingia parking hawana vibe Lolote. Namliza mtu weekend hii anakula mlenda hadi kero uvinza kajaa uji kila dakika chumvini huwezi kuzama na ukaibuka.
Tuwe makini wala mlenda wana makusudi.
Naendelea...
Simulizi: Nusu Ya Uhai
Mwandishi: Akaliza
Tuanze.
2017, KASANGA-KIGOMA.
Majira ya usiku shughuli za uvuvi zilikuwa zikiendelea kama kawaida, boti nyingi na mitumbwi zilikuwa na idadi kubwa ya wavuvi waliokuwa wakielekea katika sehemu ambako waliamini kungelikuwa na samaki. Sehemu ya Kasanga...
Dina (sio jina halisi) ni mama wa watoto 3 ambao wote kwa sasa wanafanya shughuli zao na wako vizuri.
Wakati anaolewa alimkuta mumewe na watoto wawili. Katika malezi aliwalea wote kwa usawa bila kubagua na watoto wakawa wanapendana sana, igawa wote kwa sasa ni watu wazima wanajitegemea lakini...
Pia unaweza kuisoma hadithi hii na nyingine nyingi bure ndani ya maktaba app(by pictus). install toka playstore.
KISA CHA NDUGUYE KINYOZI WA TANO
MIMI ni Kinyozi na nina ndugu sita. Hiki ni kisa cha ndugu yangu wa tano, Alnacha. Katika siku alizokuwa hai baba yetu, Alnacha alikuwa mvivu sana...
Endapo upo ndani ya chumba au nyumba yako,nyakati za usiku ukawa unahisi maluwe luwe as if kuna mtu kaingia ndani but you don't see anything lakini timbwili zinazidi Fanya hivi kesho yake,japo ni hatari sana endapo muhusika atakuwa ni ndg yako
- Fagia chumba vizuri sana kila pembe kusanya taka...
JINA: Tabia.
MWANDISHI: Chiamaro Mokiri.
Umri wake ulikuwa ni miaka 19. Alikuwa hazidi hapo. Labda kama ni chini ya hapo. Na kama ingelikuwa ni kampuni ya bima, basi wangempatia miaka mingine 60 ya kuishi. Ila mimi nilikadiria labda masaa 36, au dakika 36 ndizo alikuwa nazo kama mambo...
Tittle: A confession of a mad man
Author: DIZASTA VINA
Jina lake silikumbuki kwa sababu sikumuuliza anaitwa nani. Lakini kwa sasa hivi nikitafakari, ninaweza kumbatiza jina la Malaika. Ndiyo! Malaika kwa sababu ya mionekano yake. Lazima nikiri nimeona wanawake wengi warembo wa kila rangi na...
Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani.
Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja leo asubuhi hii vimemuidhinisha bwana Olaf Scholz kuwa kansela mpya na kuondpoa uhafidhina wa chama...
Haditi hii ni tafsiri ya hadithi inayoitwa The Pearl iliyoandikwa na John Steinbeck.
Unaweza kusoma hadithi hii na nyingine nyingi kwenye app yetu. huu uzi una maelezo zaidi.
https://www.jamiiforums.com/threads/jisomee-vitabu-vya-kiswahili-bure-ndani-ya-app-hii.1887408/
LULU
Sura ya Kwanza...
Habari za wikiendi..
Kama nilivyouliza hapo juu ni jina lipi la hadithi,kitabu au novel huwa linakuvutia sana au unalipenda.
Mimi napenda sana
Why men love bitches.
Manipulated man.
Tutarudi na roho zetu.
Tai kwenye mzoga.
Zubaa uzikwe.
Ongezea na zako zingine
Mtandao wa YouTube unao milikiwa na Google waja na YouTube story.
Youtube story ni kipengele cha kumruhusu mtumiaji wa YouTube mwenye account yaani youtuber kuweka hadithi kama ilivyo mitandao mbalimbali ya kijamii mfano Facebook na Instagram wao pia wanatumia Facebook story au instagram story...
Hii hadithi ni tamu na ya mapenzi.
Kuna mtu mjinga anaitwa Polisewa na mwingine anaitwa Jeiwewatezada. Wote ni wenye nguvu na maarifa, ila tofauti Polisewa ni mjinga na asie na misuli kumzidi Jeiwewatezada mwenye akili, weledi, mpole, mtiifu na mwenye kila aina ya nguvu.
Mpaka sasa Polisewa...
An undated file image of former bank manager Ben Mwangi
This is the case of one Ben Mwangi, whose story can only be visualised in a movie-style act. Once a very successful bank manager in the 1970s and having amassed wealth over years, Mwangi would later lead a life of solitude and eventually...
Naam, tuanze kwa kupeana shule kidogo. Kuna aina mbili za maisha. Maisha ya hadithi na maisha halisi. Maisha ya hadithi ndio yale uliyoambiwa na wale kipindi uko chuo wanapokuelezea jinsi kilimo cha matikiti kinavyolipa.
Wanakwambia, ukiwa na milioni moja tu unalima ekari ya matikiti, ukivuna...
Wakuu,
Najaribu kuzikumbuka hadithi za Kulwa na Doto amabazo zilivuma sana miaka ya nyuma.
Embu tukumbushane hizi hadithi, misingi yake, mafundisho yake, nk.
Hadithi hizi zinapatikana katika kitabu Someni kwa furaha kitabu cha kwanza. Unaweza kuzisoma na nyingine nyingi bure ndani ya Maktaba app(by pictus), Icheki playstore.
Kalume-Kenge
Kalume-Kenge alikataa kwenda shule, baba yake akamwambia mbwa: je, mbwa, wataka kumwuma Kalume-Kenge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.