Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia:
"Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo."
Imesimuliwa na Zubeda Abdalla Omar
Alitokea Chanjagaa akajenga nyumba akakaa, mwanangu Mwanasiti kijino kama chikichi, cha kujengea vikuta na vilango vya kupita. Hapo zamani za kale alikuwepo bwana mmoja, aliekuwa na wake watatu mmoja alikuwa mwizi. Yule bwana alikuwa anafuga mbuzi, siku moja...
Hadithi hii ni tafsiri ya kitabu Robinson Crusoe, iliyoandikwa mwaka 1719 na muandishi muingereza, Daniel Defoe, miaka ya sitini ilitafsiriwa kwa kiswahili. Nitaiweka hapa yote, pia unaweza kuisoma bure ndani ya app ya maktaba(by pictuss) iliyopo playstore.
Ni nzuri kuisoma kujikumbusha zamani...
Utii wa Roda
Mama yumo nyumbani, anapika chakula chetu.
Roda yuko nje, anacheza na wenzi wake. Sasa
mama anamwita Roda aje kumsaidia.
— Roda, njoo hapa.
— Ndiyo mama.
Lakini haji. Anacheza na wenzi wake. Mama ana-
mwita tena :
— Roda, njoo ; ukapasue kuni.
— Ndiyo mama, nakuja sasa hivi...
Ngano ni hadithi fupi inayosimuliwa kwa kusudi la burudani na pia mafundisho. Ni mambo ambayo hayajawahi kutokea kuhalisia. Ukitafakari kwa kina utagundua sehemu kubwa ya dini nyingi zimejengwa katika msingi huu.
Story gani ujawahi kuiamini kama ni ya kweli na halisi katika kitabu cha dini yako?
KISA CHA ''MAGAIDI'' WAWILI: SHEIKH RAMADHANI RAJAB CHAMBUSO NA SHEIKH AHMADA KIDEGE
''Akauliza muulizaji katika kuwahoji kwa shutuma za ugaidi ni nani anawalipa kwa kazi hiyo ya kusomesha Qur'an.
Jibu likatoka kuwa hakuna anaewalipa ila wanaifanya kazi hiyo ili Allah awaridhie na kesho kiama...
Wanabodi.
Radio Free Africa wanarusha kipindi cha sito sahau kila Jumapili saa nne na kuendelea.
Sasa hivi kuna hadithi ya jamaa anaye jiita Lwanda Magere! nimesikiliza hadithi yake kwa baadhi ya episode zake! Jamaa kiukweli kwa maneno yake mwenyewe, anakiri kuua watu wengi sana hasa kupitia...
Hii ni thread maalum ya kukuunganisha na mastory mbalimbali ya zamani, nyingi zikiwa ni zile tulisimuliwa na Deborah Mwenda akisaidiwa na Eddah Sanga kwenye kipindi cha Mama na mwana, Radio Tanzania Dar es Salaam.
Zifuatazo ni hadithi ntakazozileta wiki hii, wiki ya uhasishaji wa usomaji wa...
HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI TAYARI AMEANDIKA HADITHI YAKE,SI JAMBO RAHISI KUIFUTA.
Leo 11:45hrs 11/04/2021
Mzee wetu Mzee Ally Hassan Mwinyi,alisema "Maisha ni hadithi tu"ewe mwanadamu kuwa hadithi nzuri,Hayati John Pombe Magufuli yeye tayari ameshaandika hadithi yake si jambo rahisi kuifuta...
Habari, wapendwa. Uandishi wa riwaya na simulizi ni kazi ngumu na nyepesi kwa wakati mmoja! Ngumu kama mwandishi anatazamwaa na rundo la karatasi nyeupe huku akiwa na kalamu bila uhakika anaanzia wapi. Uandishi pia ni mwepesi kama mwandishi ana 'sense' ya angalau pointi A, B na C kabla...
TURUFU YA MWISHO
Aliporejea Tanzania baada ya kuwa nje kwa miaka saba, alikuwa na matumaini makubwa ya kumkuta mdogo wake Celine akiendelea vyema na masomo. Hakuamini baada ya kugundua alichofanyiwa Celine ambacho kilimuweka katika hatari ya kifo. Licha ya kupambana kumwokoa, akajikuta katikati...
Wapwa
Akiwa hapa Ifakara kwenye kampeni zake, Lissu anaendelea kutema cheche
Anasema kila Mtanzania ana hadithi yake ya maumivu. Ameomba kura kutoka vyama vyote na kuahidi mambo mengi ikiwemo kufuta machozi mengi ya wana Ifakara na Tanzania nzima.
Je wewe hadithi yako ni ipi.?
Haki huinua Taifa.
Wakuu natumaini hamjambo. Naomba mwenye kujua hili suala la watu wanaoruka kwa ungo ni la kweli au ni hadithi za kufikirika tu? Kuna mtu alishawahi kushudia hili na kuchukua ushahidi wa video hapa kwetu Tanzania. Ni jambo linanitatiza ninaposikia hizi hadithi.
How do they defy gravity with...
HADITHI ZA ALIF LELA U LELA
HADITHI YA ALADINI NA TAA YA MSHUMAA WA AJABU
Hapo zamani katika nchi moja kulikuwepo na mshona nguo yaani fundi cherahani. Fundi huyu alifahamika kwa jina la Mustapha. Mustapha alikuwa na umri 17 toka aanze kati ya kushona. Amekuwa ni fundi maarufu na mwenye...
STORI ZA KUPIGA RAMLI!
Mtunzi: Muddyb Mwanaharakati
Mawasiliano: 0713538427
ANGALIZO: Atakayekwazika, naomba ani-inbox. I will have the post deleted immediately!
Kingine si kama stori ndivyo hali halisi ilivyokuwa. La hasha. Ni katika harakati za kusogeza siku zetu za kuishi tu.
Tuendelee...
Kimekuja na meli.
Tuheshimiane!
Asubuhi na mapema, hata hali-mseto haijatokea, simu mkononi kumpigia asiyempigia tangu kuzaliwa.
Namba kaipata wapi, ngumu kusema kwa mtu mwenye nia na jambo fulani.
Tuuuuuuuuuup!
Mwito wa kwanza, hola!
Wa pili, holaaaa!
Hatimaye ikapokelewa!
"Hello, Zari!"...
Mimi si mpenzi sana wa hadithi ila hii nimeipenda nimeamua kushare na nyie ndugu zangu wa JF hasa wapenda stori za machombezo drama n stuffs like that tuwemo.
=======
Simulizi ya kweli: SHANGA ZA BIBI ZILIVYONIPA UMAARUFU!!!
Msimuliaji: KIDAWA
Mwandishi: Jack Mambo
Umri: 18+
Sehemu ya 1...
HAPPY AT LAST (FURAHA HATIMAYE)
Eric Shigongo
“Umeolewa?”
“Ndio!”
“Mume wako yuko wapi?”
“Dar es Salaam!”
“Sijawahi kumwona hata mara moja akija hapa hospitali!”
“Ana kazi nyingi sana ofisini kwake, hata hivyo huwa anajitahidi kufika anapopata nafasi!” Maneno hayo yalitoka mdomoni mwa mwanamke...
Alfajiri ya tarehe 1, tulikuwa tumepanga safari ya kwenda nje ya nchi mimi na mke wangu, maandalizi yote ya safari yalikamilika vizuri na tulitarajia kusafiri pamoja na mtoto wetu kipenzi.
Tulikuwa tumepanga kwenda nchini Ugiriki katika mji wa Thessaloniki kwaajili ya mapumziko kupisha vuguvugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.