ALTEZZA TRAVEL MLIPA KODI BORA WILAYA YA HAI K'NJARO
MOSSHI
Kampuni ya wakala wa Utalii ya Altezza Travel imeshinda Tuzo ya mlipa Kodi bora kwa walipa Kodi kutoka wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro .
Tuzo hizo zimetolewa wiki iliyopita Katika hafla fuoi ya kutunuku Tuzo kwa walipakodi bora...
Mtu anakupigia simu au umempigia simu unaanza, "Oooh simu zangu hupokei siku hizi, umenitupa.
Hunitafuti mpaka nikutafute." na maneno mengine kama hayo ya kutaka kumfanya mtu ajihisi guilt.
Hiyo ni tabia mbaya na roho mbaya. Haifai. Kuwa na mazungumzo ya shangwe utaona watu wanavyokupigia na...
Uchakavu wa Choo cha wanafunzi katika Shule ya Msingi Kiselu iliyopo Kata ya Machame Uroki Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro uliyokuwa ukihatarisha usalama wa wananfunzi katika shule hiyo kutokana na choo hicho kuwa na dalili za kutitia umepatiwa ufumbuzi baada ya Bodi ya Maji ya Uroki...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Levina Rajabu mkazi wa kata ya Bondeni katika mji mdogo wa Bomang’ombe wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro amesema endapo atafariki dunia kabla ya uchaguzi Mkuu wa hapo mwezi Oktoba basi kaburi lake lipige kura na hiyo kura apewe Saashisha Mafuwe mbunge wa...
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro kupitia Katibu wake, Ndugu Mercy Mollel amempongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Siha Dkt. Haji Mnasi kwa kusimamia miradi ya maendeleo huku akiwaeleza wajumbe kazi kubwa aliyofanya DED Mnasi wakati akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ileje...
Dah Leo tumetoka kumzika rafiki yangu kipenzi Bado mdogo tu na alikua na potential kubwa tu ya kufanya mengi maishani, nimekaa nimewaza Sana nimekumbuka baadhi ya matukio ambayo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu Kwa ulinzi wake mpaka muda huu, ntaleta kisa kimoja kimoja inform of episodes...
Nyakati zitasema naye na wote waliohusika
Asili inaona na haijakaa kimya!.. Hata wengine wasipolipa kisasi.. Asili itafanya.. Karma haikopeshi.. Asili hulipa kisasi kwa niaba
Asili hukifanya kisasi kitunge mimba
Asili hukifanya kisasi kizae , kikuze kisha kikomaze..
Kisasi kikishakomaa...
Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
Ijumaa Kareem
Unaweza kuwa karibu na watu wenye kila aina ya fursa ,mawazo chanya, kujitoa , Ila wasifanikiwe kukupa hayo mawazo chanya, wala kujitoa kwako wala kukupa fursa.
Kuna wakati Mungu Anasema na wewe Ila kupitia watu wengine na sio hao ambao wapo karibu yako.
Mwaka Jana nilienda...
Miaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu..
Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba
mpaka sasa hakuna Mwanadamu anayeweza kutengeneza Kifaa kama Safina ya Nuhu.. Hayupo!
Hakuna meli, boti wala jahazi lenye uwezo...
Wapo viongozi ndani ya ccm wanaoamini kuwa kuchafua image ya jpm kupitia kitabu cha kabendera inaweza kuwapa sifa nzuri katika uongozi wao! Hadi sasa hakuna tamko lolote juu ya kitabu hicho kinachosambaa kwa kasi chenye maneno ya kuudhi ya kuchafua viongozi.
Nachojiuliza utekaji katika serikali...
habari ya wakati huu jamii forum
leo nawazungumzia hawa watumishi na ninaposema watumishi sio tu wahubiri wa neno la Mungu na na utendaji wa huduma zao, bali na waimbaji wa nyimbo za injili ambao wao wanahubiri kupitia nyimbo, ikiwa ni moja ya zile huduma tano alizotoa Yesu Kristo ya...
Alaaniwe yule mtangazaji wa redio (kama siyo tbc basi ni radio free) ambaye alitangaza kwamba mdada (mmama) yule amekufa. Ili nisiwaache wengine hapa ngoja nifafanue kidogo, huyu Christy Cheung ni yule mdada aliyekuwa akilindwa na Jet Li kwenye movie ya The Bodyguard From Beijing
Kipindi hicho...
Ndugu zangu, hapa nilipo nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya mjomba wangu kufanikiwa kukomboa kikoba cha ukoo kilichokuwa kwenye hatihati.
Wanachama wa kikoba tafadhali malizieni ada zenu za uanachama ili wajanja tuje kuzisasambua hapa machame.
Christmass hii itakuwa bomba sana.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Dionis Myinga ambaye pia ndiye aliyekuwa Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa wilayani humo amesema kuwa aliyekuwa Mgombea wa Uenyekiti wa kijiji cha Usari kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial...
Reference:
Marko 9:1
Luka 9:27
Mathayo 16:28
Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba
Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia kuna watu watauona ufalme wa Mungu kabla ya kufa..
Kumbuka ishapita miaka elfu 2 mpaka sasa
Je, hao...
Siku zote nimekuwa nikiwasikia wakatoliki katika sara zao wakimuomba bikra Maria, mama yake Yesu, awaombee. Hata katika nyimbo nyingi wanazotunga, wanamtaja bikra Maria na kumsihi awaombee kwa Yesu. Je, kwani huyu mama bado yu hai? Je, imani ya dini yao haihuruhusu muumini kumuomba Yesu moja kwa...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro kimeendelea kuvuna wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaojiunga na CCM.
Hayo yamefanyika wakati wa kampeni zinazoongozwa na Mbunge wa Jimbo la Hai, Mhe. Saashisha Elinikyo Mafuwe, ambapo wanachama wengi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.