Kwa Mujibu wa maelezo yaliyotelewa leo na DC wa Hai, Sabaya, 360 Clouds, hakika eneo hilo uwajibikaji ulikuwa duni sana .
Takwimu zinaonyesha ujambazi ulikithiri, mihadarati, wananchi wanyonge kuporwa mashamba, makusanyo hafifu ya kodi, uhaba wa vituo vya afya, miundombinu chakavu na mengine...