Wakubwa Habari...
Nina swali kidogo kuhusu hawa jamaa maarufu kwa BETTING huko twitter mbona Yale Majamvi yao ya STAKE kubwakubwa ukiscan kwenye betslip scanner ya paripesa yanakataa?
Ni mimi ndio sielewi ?
Ama wanashirikiana na paripesa kuingiza watu mkenge?
Ama ile option ya betslip scanner...
Huko Coco Beach, sio mara moja, kuna mwamba anapita pita na Hummer yake ya umeme namba E full kipupwe kama mufindi haigongi.
Hana mbwembwe hajaweka personalized number plate.
Ikumbukwe chuma inauzwa Tsh Mil 250 kwenda juu, hapo bila usafiri wa kuileta Bongo wala Ushuru wa TRA (ambao utakua...
Hili limeshanitokea mara kadhaa matokeo yake naishia kutupa vocha na kuweka nyingine. Siku hizi huwa sinunui sana vocha za kukwangua nanunua tu bando kwa mtandao.
Leo nimekuta vocha ambazo nilikuwa nimenunua kitambo na huwa mara nyingi inakuwa kwa ajili ya msichana wa kazi.
Nikataka kuingiza...
Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10.
Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji.
Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
afrika
afrika mashariki
elon musk
haipo
internet
internet ya starlink
jumuiya
jumuiya ya afrika mashariki
mashariki
mbili
mpango
nchi
starlink
tanzania
Ripoti ya Afrobarometer iliyochapishwa hivi karibuni, imebaini kuwa huduma za polisi barani Afrika zinakabiliwa na changamoto kubwa za uadilifu na weledi, huku asilimia ndogo ya raia wakiridhika na utendaji wa vyombo hivyo vya usalama.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo iliyokusanya maoni ya raia kati...
Karma Doesn't exist.
Karma ni dhana ya kimaskini inayowapa matumaini uchwara watu maskini kujifariji na matatizo yao dhidi ya watesi wao.
Mababu zetu waliteswa sana na kusulubishwa ipasavyo wakati wa utumwa na ukoloni, Lakini hiyo karma haijawahi kufanya, haijafanya na haitakaa ifanye chochote...
Tangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu.
Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao.
Nilikuwa nilipie bidhaa fulani nimeshindwa, huu ni utapeli sasa
Ukiangalia sector ya kilimo na ufugaji hutupatia fedha nyingi na ajira nchini lakini serikali haiweki macho katika nyanja za mwanzo na zenue kuleta wataalam katika sector hizi.
Ukiangalia katika ufugaji na vyuo vyao majengo ni ya mwaka 1950 na ni maeneo wanayotakiwa kusomea maafisa wakuja...
Watu wa magari au wenye uelewa na hizi namba za magari mtueleweshe kwanini hiyo herufi huwa haipo kwenye mtiririko wa usajili au plate number?
Nimezoea kuona magari yenye namba za usajili kama T 567 DJJ au EJK au vyovyote lakini heru I/ài/ huwezi kuikuta.
mafano huwezi kukuta gari lina...
Vip wakuu ushawai kutana na gasia ya kuazimwa chaja? Na aliezima hayupo? Ila ni kero Balaa. Hivi adi chaja? Unakuta mtu hana kabisa chaja na anamilik tambo la 300000+
Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa.
Afya mpaka leo hakuna Pdf.
Je, kipi kiko nyuma ya haya?
1. Serikali haina Hela.
2. Utumishi wamelemewa.
.
.
RATIBA YA HATUA YA PILI YA MASHINDANO MAKUBWA AFRIKA (CAFCL)
CBE FC 🇧🇴 x 🇹🇿Yanga SC
Dekedda SC 🇬🇼x 🇭🇰Esperance
Gor Mahia FC 🇰🇪 x 🇪🇬Al Ahly SC
APR FC 🇷🇼 x 🇪🇬Pyramids FC
Mbabane 🇬🇼 x 🇿🇦Mamelodi
AS Maniema 🇨🇩 x 🇦🇴 Petro Atletico
Red Arrows 🇿🇲x 🇨🇩 TP Mazembe
Jwaneng Galaxy 🇧🇼 x 🇿🇦 Orlando
Enugu...
Kwenu wataalumu na wajuaji wa Jamiiforums hili swala kwakweli linanitatiza sana na kuna muda unajiona kama ni ulemavu fulani hivi.Naombeni majibu hii inatokana na nini?
Iko hivi mwaka 2022 nilianza rasmi mazoezi ya kubeba weight/nondo/vyuma.sasa kadri siku zinavyoenda mwili ukaanza kukaa...
Kuna sehemu Simba haipo sawa tena kwenye uongozi wa juu,wale wawili hawaelewani Mangungu na Mo Dewji haziivi kabisa,hata ukiangalia kwenye Simba day hawakuongea kabisa,viongozi hawaelewani hata kidogo.
Nimeamka nimekutana na habari za moto moto Awesu Awesu ni mchezaji wa KMC FC. Simba walipitia...
Leo nilipokuwa ninaperuzi mtandao wa Quora, nilikutana na mada moja inayohusiana na mighahawa ya KFC na McDonald barani Afrika.
Mmoja wa wachangiaji alieleza kuwa Afrika Kusini na Misri ndizo nchi zinazoongoza kwa kuwa na hiyo mighahawa barani Afrika. Hata hivyo, baadhi ya matawi ya KFC Afrika...
Katika jambo linalowasumbua watanzania wengi kati ya mengi yaliyopo, soka letu linaendelea kututia Shaka kila kukicha, sis kama wadau WA mchezo huu pendwa na wenye chachu ya kuona mafanikio kwenye soka la taifa letu. Kwa wengi tunafatilia klabu zetu pendwa za Simba, Yanga, Azam na nyinginezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.