Habarini,
Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika.
Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
Haiko hivi katika nchi zingine. NIsiache kumkumbuka yoga, kwetu ni kampuni la watu na familia zao.
Mifano ni mingi hata hivyo tuanzie na elimu ya juu, tuelewe ya loan board. Elimu ya juu rasmi ni private education isiyokuwa na ruzuku popote. Wanafunzi wanalipa malipo yote in full. Tuition fees...
Nani asiyejua umuhimu wa katiba mpya? Nani anaweza kuthubutu kujipa jukumu hilo peke yake na kuwasusa wengine kwa sababu zozote zilizokwisha pita?
Misahafu inasema ni furaha kuu mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja akitubu.
Hivi hata ya waungwana hatuyasikii?
Nini tofauti ya ya chawa uchwara...
HAUPO ULIVYO! DUNIA HAIPO ILIVYO!
Mpaka miaka mitano iliyopita sikuwa naamini katika mambo ya kiroho, niliamini katika elimu yangu,na bahati mbaya nilikua nimesomea mambo ya sayansi katika miaka yangu yote ya sekondari(kidato I-VI)hivyo niliamini sana katika elimu, sayansi na teknolojia,wakati...
Hakuna CCM tena, Mbatia hajaondolewa na NCCR, kuna sababu kwa nini akina Mbowe &Co. wapo pro Utawala uliopo, they have no choice, na yoyote atalayejaribu ku challenge status quo ataenda na maji, wengi watafwatia, siku moja mtakuja kutambua who pulls the strings na wala siye mnayemdhania...
Habari za mchana wana JF,
Moja kwa moja. Ninavyojua tokea elimu ilivyoanza rasmi kutolewa hakuna ada yeyote inayolipwa mpaka mwanafunzi anafanya mtihani na kumaliza kila kitu bure kasoro kidato cha tano na cha sita sasa kilichofutwa leo ni kipi?
#UziTayari
Wale makamishina wanne wa tume ya uchaguzi ya kenya wametoa sababu kwa nini hawakubaliani na matokeo yaliyotangazwa na mwenyekiti wa tume yao. Raila ametumia hoja ya makamishina hao kama msingi wa kutokuyatambua matokeo yaliyotangazwa. Tuangalie kwa karibu sababu za kususia matokeo hayo:
1...
Habari zenu Wana jf?
Kuna swali huwa najiuliza lakini nakosa jibu sahihi,nikaona si vibaya swali/jambo hili Nika wahusisha na ndugu zangu wa humu jukwaani.
Jambo lenyewe si geni saana Ni hivi, Kuna TEKNOLOJIA Fulani ya kuendesha mitambo yaani namaanisha injini kwa kutumia maji...
Katibu wa Mbunge wa Hai Irine Lema amekanusha uzushi unaozunguka kwenye mitandao kuwa mkuu wa wilaya ya Hai amemnyanganya ofisi mbunge wa hai Mhe. Freeman Mbowe amesema kuwa ofisi ipo Bomang'ombe na imejengwa kwa garama za Mbunge na haiko halmashauri kama inavyopotoshwa
Huu ni Mwonekano wa...
Baada ya kusoma kwangu somo la historia ninashawishika kuamini kuwa bustani ya Eden ipo mkoani Arusha eneo la Olduvai gorge ambapo paligunduliwa fuvu la mtu wa kale duniani.
Sote tutakumbuka juu ya uvumbuzi uliofanywa na Dkt. Leakey na mkewe Mary Leakey wote hawa ni wazungu na uvumbuzi wao...
Duniani mahala popote pale chama kilicho hai huwa na nguvu ya umma.Maana uhai wa chama ni wananchi kuwa na hicho chama ndani ya mioyo yao.
Sio kwa kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii.
Sio kwa kusumbuliwa na akina Halima Mdee namna hii.
Na huj ndio uthibitisho kuwa Chadema haipo...
Habari zenu, kwa zaidi ya miezi 3 sasa nimekuwa nikimtafuta ndugu yangu mwana harakati huru Cyprian Musiba bila mafanikio, hata ukiingia Youtube Tanzanite Tv haionekani tena.
Nani anajua kinacho endelea?
KIZAZI CHA SASA TAMBUENI KUWA; HAYA NDIO MAMBO AMBAYO YANAWEZA KUKUSABABISHIA KUUAWA BILA KUJALI SERIKALI IPO AU HAIPO!
Anaandika, Robert Heriel.
Kuna mausia ambayo kizazi cha sasa hakijapewa ndio maana kinachukulia mambo kiholela, yaani mambo rahisi rahisi. Wazazi wanalojukumu la kuwaachia...
Kwa mara nyingine mungu wetu ametupa nafasi hadimu na hadhimu katika hii Dunia, hatuna budi kumshukuru.
Nikienda moja Kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Kiukweli nimetafakari vya kutosha kuhusiana na hoja ya kuto kudai fidia pale inapptokea umeshtakiwa kimakosa,haijalishi itakuwa umeonewa...
Katika kesi ja Jinai, ili mtuhumiwa apatikane na hatia, ni lazima apatikane na kosa "Pasipo Shaka" au kwa lugha nyingine, Beyond reasonable doubt. Hii ndio neno linalotumika kuthibitisha kwamba mtuhumiwa ahukumiwe kwenda Jela au Kufa!
Kila ishara inaonyesha hii kesi haina merit to affirm a...
Hili baraza jipya linaonyesha jinsi CCM ya kumilikiwa na watu inavyorudi kwa kasi. Sasa 2025 kwanini wasikunyooshe?
Umewapa uhalali wewe mwenyewe. Kijani wenzio watakupiga nje na ndani hakuna rangi utaacha kuona.
Wasalaam,
Nimehamasika kuja na uzi tajwa baada ya kumsikia mama rais Samia akionesha kushangazwa na kusikitishwa na minong'ono iliyokuwepo bungeni kipindi kile baada ya aliyekuwa rais wa Tanzania JPM kufariki dunia
Kwa mujibu wa mama,ilimbidi kusoma katiba na hakaona kitu kinachoitwa...
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani MTU unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.