Katika jambo linalowasumbua watanzania wengi kati ya mengi yaliyopo, soka letu linaendelea kututia Shaka kila kukicha, sis kama wadau WA mchezo huu pendwa na wenye chachu ya kuona mafanikio kwenye soka la taifa letu. Kwa wengi tunafatilia klabu zetu pendwa za Simba, Yanga, Azam na nyinginezo...