Wakuu vipi uko kwenye majimbo yetu?
Imekua tabia ya viongozi wengi kuonekana kipindi cha uchaguzi wakihitaji kura kutoka kwa wananchi huku wakitoa ahadi nyingi za maendeleo, ambapo baada ya uchaguzi ni kilio cha wananchi ndicho husikika na hii imewakuta wananchi wa Mtwara Mjini ikiwa ni miaka 5...