Mimi kaniacha hoi baada ya kusema hadi mwanae kama akihama chama cha CCM na kwenda upinzani basi yeye hatohusika naye!
Yani kisa chama kweli kabisa unaikataa damu yako?
================
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwassa, amekanusha madai ya kushiriki siasa katika Jimbo la Bukoba...