Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Mimi kaniacha hoi baada ya kusema hadi mwanae kama akihama chama cha CCM na kwenda upinzani basi yeye hatohusika naye!
Yani kisa chama kweli kabisa unaikataa damu yako?
================
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Hajat Fatma Mwassa, amekanusha madai ya kushiriki siasa katika Jimbo la Bukoba, akisisitiza kuwa anatekeleza majukumu yake ya kiserikali kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza leo Oktoba 20 katika kongamano la wafanyabiashara wadogo wadogo (SHIUMA) lililowakutanisha zaidi ya watu 1,600 mjini Bukoba, Mwassa alisema anaamini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitasalia imara na kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.