haki jinai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Tume ya Haki Jinai: Kila Mtanzania awe na namba moja ya UTAMBUZI maisha yake yote

    Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema kuwa tume inapendekeza Mifumo ya huduma za kijamii na kibiashara zifungamane na mfumo wa utambuzi wa usajili wa makazi, RITA, ardhi na NIDA ili kila Mtanzania awe na namba moja ya...
  2. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: TAKUKURU ina watumishi Wala Rushwa na Wasio Wabobevu

    Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Uboreshaji wa Mfumo wa Haki Jinai Nchini, ametoa taarifa hiyo hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete - Ikulu Dares Salaam wakati akiwasilisha Ripoti ya Mapendekezo ya Tume Tume hiyo iliundwa Jan...
  3. Chachu Ombara

    Tume ya Haki Jinai: Wakuu wa Mikoa/Wilaya wanatumia vibaya mamlaka ya kukamata na kuweka watu maabusu, waondolewe hayo mamlaka

    Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amebainisha kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanalalamikiwa kutumia vibaya madaraka yao ya kukamata na kuwaweka wananchi maabusu kwa mujibu wa Kifungu cha 7 na 15 cha Sheria ya Tawala za...
  4. BARD AI

    Tume ya Haki Jinai: Vyombo vya Ukamataji hutumia nguvu na kutesa Watuhumiwa

    Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema wamebaini hayo baada ya kuhoji Watuhumiwa katika Vituo 46 vya Polisi Nchini Pia, Tume imebaini uwepo wa Taasisi nyingi za ukamataji na zenye Mahabusu hali inayosababisha ugumu...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia asema itungwe Sheria itakayotoa muongozo kuwashughulia viongozi wanaofanya majukumu ambayo sio yao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa rasmi ya Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai hapa Nchini, kutoka kwa Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete -...
  6. S

    Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

    Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!! Swali langu : Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
  7. comte

    Baada ya Tume ya haki jinai naona ipo haja ya kuanzishwa kwa tume ya Kodi

    Kodi ndiyo roho ya serikali kiasi kwamba bila kodi hakuna serikali na kwa vile kodi inatokana na biashara, basi kimantiki biashara ndiyo serikali. Kwa tuliyoyashuhudia hali si shwari kati ya wasimamizi wa kukusanya kodi na wafanyabiashara wanaolipa hizo kodi; kwa misingi hiyo ipo haja ya kuundwa...
  8. Mtemi mpambalioto

    Tuisaidie Tume ya kuboresha taasisi za haki jinai kwa kuweka maoni yatu hapa

    Wadau kama tunavyofahamu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aliteua wajumbe tisa wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti Jaji Mohamed Othman Chande na Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi Ombeni Sefue. Lengo kuu ni kuangalia kwa...
  9. Ramark

    Mapendekezo kwa Tume ya Haki Jinai

    Habari wakuu, Naomba tutumie Uzi huu kuleta hoja zetu za kuboresha mfumo wa haki jinai ili kwayo tuzichambue na kila mmoja kwa nafasi yake akipenda kuwasilisha wazo lako lilipendekezwa humu au kuboreshwa kwa njia ambazo zimetolewa na Tume. Kwa sasa wanaenda Mikoani ambako watakuwa na mikutano...
  10. Midimay

    Maoni na mapendekezo kwa tume/kamati ya kuangalia mfumo wa haki jinai

    Habari za jioni mabibi na mabwana. Ni maoni kwamba nia hii njema ya RJMT ipate muda wa kutosha katika mitandao ya kijamii na media kuu za nchi yetu. Ikiwezekana hata na media za kimataifa kama BBC Swahili, BBC Focus on Africa, VOA Swahili, DW Kiswahili na za kikanda kama media za nchi jirani...
  11. benzemah

    Nafasi ya wananchi/wadau kuwasilisha mapendekezo ya jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai

    Kwa muda sasa kumekuwa na malalamiko kuhusu wananchi kutoridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Taasisi zinazosimamia haki Jinai nchini kuanzia kwenye ukamataji wa mtuhumiwa, upelelezi,utoaji wa dhamana, uendeshaji wa mashtaka, kesi na eneo ambalo aliyehukumiwa anatumikia kifungu chake...
  12. comte

    Vurugu za London za mwaka 2011 zinaweza kuwa za msaada mkubwa kwa tume ya haki jinai

    https://theconversation.com/the-london-riots-ten-years-on-how-a-crackdown-on-protest-became-their-main-legacy-165048
  13. MIXOLOGIST

    Approach ya Rais Samia ya Tume ya Kuchunguza Haki Jinai haitawaacha madhalimu salama

    Wasalaam wana JF Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana. Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani. Mwenye Enzi Mungu...
  14. M

    Tume ya Kuboresha Mifumo ya Haki Jinai ni Historia kwa Afrika

    Rev. John E. Kimario Watu wa Mungu, watanzania wenzangu nawasalimu kwa upendo na kwa jina lipitalo majina yote. Kama tujuavyo HAKI HUINUA TAIFA, leo natuma waraka huu kwenu ukazidi kuifanya haki na upendo utamalaki kila kona ya nchi yetu hii nzuri. Ndugu zangu, Mimi kama Mhadhiri katika...
  15. Nyendo

    SI KWELI Tundu Lissu apongeza Tume Mpya ya Haki Jinai, iliyoundwa na Rais Samia

    Kuna Taarifa zilizosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii, zinazodai Tarehe 31 Januari 2023 wakati Tundu Lissu akifanya Mahojiano ya channel ya YouTube ya Jambo TV, kwamba alimpongeza Rais Samia kwa kuunda Tume mpya ya Kuchunguza Haki Jinai. Taarifa hizo ni Uzushi. Uzushi huo ulidai kuwa Tundu...
  16. J

    Video: Tundu Lissu atolea ufafanuzi Haki Jinai, Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    ..hii ni interview ya kwanza tangu atue nchini.
Back
Top Bottom