haki ya faragha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Mwangasa: Kila mtu ana haki ya faragha, hadi pale mamlaka za uchunguzi zinapohitaji taarifa

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi. Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo. Katika...
  2. Tajiri Tanzanite

    Vodacom pia walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili

    Hapo vip! Katika kesi ya Sabaya vodocom walipanda kizimbani kutoa ushahidi dhidi ya Sabaya ila huu upande ambao kwa sasa hivi wanailalamikia TIGO kutoa ushahidi dhidi ya kesi ya Mbowe waliona sawa na walikaaa kimya. Ninachokiona kuna ushabiki mkubwa wa kisiasa katika hizi kesi..nakuna vikundi...
  3. Jerlamarel

    Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

    Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa. Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika...
  4. Yoda

    Kesi ya Mbowe na wanasheria wa Tigo na Airtel ikumbushe wenye mamlaka kutunza siri za wateja ni muhimu kujenga sekta imara ya benki na mawasiliano

    Shahidi ambaye ni wakili katika kesi ya Mbowe kwa jina la Frank Kapara ameeleza kwa mlolongo mrefu uzoefu na utendaji wa kazi yake katika kampuni ya Tigo. Pia ameeleza jinsi gani anavyotoa taarifa za wateja kwa vyombo vingine pale anapohitajika kufanya hivyo. Maelezo yake anaonyesha ni rahisi...
  5. L

    Matumizi ya CCTV camera Tanzania na uvunjifu wa haki ya faragha

    Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
Back
Top Bottom