Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, David Abel amekamatwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa tuhuma za kuomba na kupokea Rushwa ya Sh100,000.
Akizungumza leo Alhamisi Aprili 6, 2023, Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikes amesema...