Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Mkoa wa Mwanza, Monica Ndyekobora anayeendesha kesi ya jina inayomkabili Diana Bundala maarufu ‘Mfalme Zumaridi’ amegoma kujitoa katika kesi hiyo kwa maelezo kuwa maombi ya mshtakiwa huyo anayetaka ajitoe hayana mashiko.
Hakimu Ndyekobora ametoa uamuzi huo...
Maombi ya mshtakiwa Diana Bundala "Mfalme Zumaridi" ya kutokuwa na imani na Hakimu anayeendesha kesi namba 10 ya kujeruhi askari na kumzuia afisa ustawi kutekeleza majukumu yake yameshindwa kupata majibu baada ya Hakimu huyo kudai alipata changamoto ya kiafya.
Mapema leo hii mfalme Zumaridi...
Wakili wa Diana Bundala, Steven Kitale amewasilisha leo ombi la kumkataa Hakimu Monica Ndyekobora na kudai kuwa, mteja wake hana imani na Hakimu huyo wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza
Katika kesi hiyo yenye namba 10/2022, Mfalme Zumaridi na wenzake 8 wanakabiliwa na shtaka la...
Aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili leo Juni 22, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita ikiwemo mawili ya utakatishaji fedha.
Wengine ni Mariam Mshana...
Mkuu wa Wilaya ya Muleba, Toba Nguvila amelitaka Jeshi la Polisi wilayani humo kufanya uchunguzi na kuwakamata watu ambao hadi sasa hawajafahamika, waliochoma moto gari aina ya Harrier lenye namba za usajili TI70 DEA.
Gari hilo, mali ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Nyamiranda...
Hakimu akamatwa akiwa na binti wa chini ya umri wa miaka 18 akiwa kwenye nyumba ya kulala wageni
Afisa huyo wa mahakama ambaye jina lake limehifadhiwa alinaswa akiwa na msichana huyo wa umri wa miaka 17 katika nyumba ya kulala wageni katika Kituo cha Kaplong huko Bomet.
Kamanda wa Kaunti ya...
Mahakamani pamekuwa kama kwenye nyumba za Ibada; watu wakifika mahakamani lazima wasujudu Sijui huu utamaduni wa kimiungu ulitokana na Nani. Mahakimu na Majaji siyo watu wa kuabudiwa ni Watumishi wa Umma. Mahakama siyo nyumba ya ibada NDIYO maana kila mtu uapa Kwa Imani yake.
Mfano kwa Wakristo...
Ninakuandikia wewe hakimu ambaye umehamishwa miezi michache ilopita, kufuatia rushwa zako zinazosababisha mlundikano wa kesi mahakama ya rufaa pale.
Haya maisha kuna wanaoamini kisasi sio chako, na kuna sisi tunaoamini ya duniani tunamalizana hapa hapa wenyewe kisha tunatubu.
Kila upande...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema hakuna mtu yeyote anatakiwa kumwingilia au kumpigia simu Hakimu ambaye suala au kesi fulani ipo mbele yake akisisitiza, "Ukiona anakupigia simu ya aina hiyo mpeleke mbele ya Tume ya Utumishi wa Mahakama"
Ameeleza hayo katika Hafla ya kuapishwa...
Kabla ya kuzusha ya kuzusha juu ya suala la Ndugai kujiuzulu kwamba ameamua kufanywa hivyo kwa kutopendezwa kwake na mikopo tujipe muda wa kufikiri kwa undani.
Ndugai amehudumu kama naibu spika kwenye bunge la Makinda lakini hakuwahi kuhoji kwa dharau kama alivyofanya kwa Rais Samia. Kwa nini...
Nimesoma baadhi ya nukuu za hakimu Amworo anakiri kuwa Sabaya alikuwa na silaha eneo la tukio . Lakini hii sio sababu ya kudai kuwa alitenda unyang'anyi wa kutumia silaha.
Ili unyang'anyi wa kutumia silaha utimie lazima mtuhumiwa atishie kwa silaha, kutumia silaha na kisha kupora mali...
Hili ndio swali ninalojiuliza kuhusu taratibu na hatua za kufuata katika kuandaa hukumu na mpaka kuja kuisoma mahakamani.
Binafsi natarajia iwe ni siri ya Hakimu,Jaji au Jopo la Majaji husika vinginevyo inakuwa si sahihi.
Swali lingine ninalojiuliza ni je, Hakimu au Jaji baada ya kusikiliza...
#UPDATES HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha,anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, sasa itasikilizwa.
===
HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Mwezi Februari mwaka 2018 Hakimu Michael Mteite wa Mbeya alimukumu Mbunge Joseph Mbilinyi (CHADEMA) miezi 5 jela kwa kosa la kumkashifu Rais wa Tanzania.
Hukumu hiyo ilitenguliwa mnamo April 2018 na JAJI UTAMWA wa Mahakama Kuu Kanda ya Mneya baada ya Sugu kuwasikisha ombi la rufaa.
Mnamo...
Si vibaya na wala haijawahi kuwa kosa kisheria kufahamu wasifu wa Mtumishi wa Umma, hasa yule anayegusa maslahi ya watu wengi kwa kuhakikisha haki zao zinapatikana.
Binafsi namfahamu kidogo tu kama Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu, ameshiriki kwenye kuamua kesi kadhaa za wanasiasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.