halali

The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.

View More On Wikipedia.org
  1. stakehigh

    Ukweli kuhusu utajiri wa halali

    Kuwa tajiri mara nyingi kunategemea mchanganyiko wa mambo, na bahati huweza kuwa na nafasi, ingawa kwa kawaida siyo kipengele pekee cha utajiri. Watu wengi wenye mafanikio wanakiri kuwa bahati—kama vile kuzaliwa katika mazingira mazuri, kukutana na fursa zinazofaa, au kufaidika na...
  2. B

    Natafuta kazi yeyote ya halali

    Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu...
  3. nipo online

    Je ni halali katika salon kuweka na desktop kwa ajili ya kurusha movies?

    Nimewaza bora niuwe ndege wawili kwa jiwe 1 vip hii inaweza kufaa na vip changamoto zake?maana itakua two in one. Asanteni wakuu.
  4. Brojust

    Je, ni halali kwa anayejiita CHIEF GODLOVE kuja Jamii Forums kutukana watu?

    Wakuu salama! Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla. Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye experience kubwa sana. Kuna matajiri na watu wenye hekima kubwa sana, ni sehemu pekee unayoweza ku...
  5. Pascal Mayalla

    Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!

    Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki. Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
  6. danhoport

    Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki torch ya kupiga shoti?

    Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili ya ulinzi binafsi
  7. N

    Natafuta kazi yoyote halali

    Wasifu wangu; JINSIA; Me UMRI; 24-26 ELIMU; Bachelor of business administration MAKAZI; Dar- kigamboni Naombeni mwenye mchongo wa kazi yoyote halali anisaidie nikakomboe cheti changu chuoni kuna kiasi flani cha ada nadaiwa.
  8. and 300

    Ukikaidi amri halali, kupigwa ni haki yako

    Nawasihi sana ndugu zetu huko bara. Tuelekee Msomera Kwa furaha maana mkizidi kukaidi. Haki mnayodai ni kupigwa tu. Hamna haki zaidi ya hiyo. Asanteni
  9. Foffana

    ALAMA MUHIMU ZA KUTAMBUA NOTI HALALI

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee It's me Foffana Mama Samiaaaaa Mi5 tenaaaaaa
  10. B

    Natafuta ajira yoyote ya halali

    Habar wakuu nina umri wa miaka 29 natafuta kazi yeyote ya halali kwa taaluma ninachet cha hotel kama housekeeper na waiter ambayo nitalipwa mshahara kuanzia 300,000 kwa mwezi. Pia najua kuendesha gari, sijasomea. Nipo DODOMA ila kokote naweza fanya kazi. Kwa manual work nahitaji ambayo naweza...
  11. Mchunguzi Fukara

    Binti anatafuta kazi/ajira iwe ya halali na inayoendana na gender yake

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Najua humu JF kuna watu tofauti tofauti wenye uwezo mkubwa,kati na chini wote kwa pamoja msaidieni binti kibarua chochote aweze kujikwamua kimaisha ana miaka 22 elimu yake ameishia form two baada ya kubebeshwa mimba, kwa hapa Dar mtoto hana amemuacha na...
  12. GoldDhahabu

    Ni halali kwa Mch. Msigwa kuikosoa CHADEMA?

    Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu. Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA akiwa ni mmoja wa viongozi waandamizi wa hicho chama. Baada ya kuhamia CCM, amegeuka kuwa mmoja wa...
  13. NALIA NGWENA

    Viongozi wa Simba sc , Njooni mtuombe radhi mashabiki wenu kwa kutudanganya uwa Lameck Lawi ni mchezaji halali wa Simba sc

    Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin. Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia...
  14. Webabu

    Tanzania kupitia TRA ianze kufuata uchumi halali kuondosha malalamiko ya wafanyabiashara na kukuza uchumi

    Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali. Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
  15. Allen Kilewella

    Watanzania wanatakiwa wawe na Hela halali ili uchumi ukue

    Wanasiasa wetu hata Gavana wa sasa wa Benki Kuu wanasema kuwa maisha Kwa binadamu hayajawahi kuwa rahisi na mepesi. Lakini wao Kila siku wanataka kubakia madarakani kwa hoja kuwa wapo madarakani kuyafanya maisha ya watanzania yawe rahisi na Bora zaidi ya sasa. Lakini maisha ya watu hayawezi...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Vitu vizuri havihitaji Watu wanaopenda utulivu wa bwerere. Kama hupendi changamoto basi vitu vizuri sio halali yako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya dalili kuwa maisha yako yatakuwa ya chini ni kupenda bwerere. Kupenda utulivu wa bwerere. Hakunaga vizuri kwenye bwerere. Yaani kamserereko. Bwerere haitakuimarisha. Bwérere itakufanya uwe na akili mgando. Kupenda vitu visivyokupa changamoto. Hata...
  17. B

    Kudaiwa maegesho yasiyo halali

    Kuna tukio limetokea naona ni vyema niwaambie na wengine ili muwe waangalifu. Nina kawaida ya kuingia termis ya TARURA kucheki gharama ya maegesho na wakati fulani hupata alert za kuonesha ninachodaiwa. Nimekuwa nikilipa kweli. Nikaamua kufuatilia hizo bili. Kucheki, nyingi huwa gari haitumiki...
  18. Nehemia Kilave

    Kuna haja ya sheria ya Ndoa kufanyiwa maboresho, watu wakizaa pamoja basi ihesabike ni Ndoa halali

    Ni hayo tu , haiwezekani unazalisha mwingine unakwenda oa mwingine kisa hampendani au kuendana au una zaa na mwingine kirahisi tu unakwenda olewa na mwingine. AU huoi kabisa Haya maumivu ya kisaikolojia wanayosababishiana watu hayana afya kwa jamii
  19. Labani og

    Motsepe akili goli la Azizi Ki lilikuwa halali kabisa

    PATRICK MOTSEPE: LILE LILIKUWA GOLI HALALI KABISA Rais wa CAF, Patrice Motsepe alipowasili kwenye uwanja wa ndege visiwani Zanzibar kwa ajili ya fainali ya michuano ya Africa Schools Championship.Motsepe aligusia kidogo lile shuti la Aziz Ki pale Loftus dhidi ya Mamelodi Sundowns...
  20. Manyanza

    Mtanzania kuwa mzalendo kwa kudai risiti halali ya manunuzi

    Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu. Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli... Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali...
Back
Top Bottom